Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo.

Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea Kusini anakabiliwa na kesi ya tuhuma za Ufisadi

Kim ndiye mke wa rais pekee katika historia ya Korea Kusini kukamatwa, na sasa anajiunga na mumewe, rais wa zamani Yoon Suk Yeol, aliyepo akikabiliwa na kesi baada ya kuondolewa madarakani mwezi Aprili kutokana na jaribio lililofeli la kutangaza sheria ya kijeshi mwezi Desemba

1755065474109.png
====

South Korea's former first lady Kim Keon Hee has been arrested after a court late on Tuesday issued a warrant to arrest her following accusations of graft that she denies, a special prosecutor leading a wide-reaching probe said

Kim is South Korea's only former first lady to be arrested, joining her husband, ex-President Yoon Suk Yeol, in jail as he faces trial following his ouster in April over a botched bid to impose martial law in December

Source: Reuters
 
Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, amekamatwa rasmi baada ya waendesha mashtaka nchini humo kumshtaki kwa makosa ya rushwa, kufanya udanganyifu kwenye soko la hisa, na kuingilia michakato ya Kiuchaguzi

Mahakama Kuu ya Wilaya ya Seoul ilitoa waranti ya kukamatwa kwa Kim Keon Hee tarehe 12 Agosti 2025, ikibainisha kuwa ni kuna hatari ya kuharibiwa ushahidi iwapo mwanamama huyo ataendelea kuwa free.

Baadhi ya makosa anayoshutumiwa nayo ni Anashutumiwa kushiriki katika mpango wa kudanganya bei za hisa wa kampuni ya Deutsch Motors kati ya 2009 na 2012, kuingilia michango ya uteuzi wa wagombea katika uchaguzi wa 2022 na 2024, pamoja na kupokea zawadi za kifahari ikiwemo mkufu wa Van Cleef & Arpels na mikoba ya Chanel

Source: BBC News, Reuters
 
Back
Top Bottom