Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,618
pasco unajuwa mengi, unaweza kuanzisha kipindi ukakiita 'najuwa usichokijuwa,
Zion, kipindi nitaanzisha, ila ni cha serious matters!.pasco unajuwa mengi, unaweza kuanzisha kipindi ukakiita 'najuwa usichokijuwa,
Wanabodi,Wanabodi,
Mwanamke kutoka Zanzibar kwa jina la Bi Nasra, aliyejitambulisha kama mke wa kwanza wa president wa kwanza wa Zanzibar, anashiriki shindano la Bibi Bomba la Clouds FM!.
Mwanamke huyo emedai kufanikiwa kupata mtoto mmoja na rais huyo wa kwanza na kusema yupo na mtoto yupo!.
Kwa wale wajuzi wa mambo ya Zanzibar, jee ni kweli president wa kwanza wa Zanzibar alikuwa na mke mkubwa?. Kama ni kweli, is it proper kwa mke wa president kushiriki shindano na kujiexpose kuwa yeye alikuwa ndiye mke wa kwanza wa president wa kwanza?!.
Asante Mkuu Zomba, kiukweli hayo mengine yote sikuyajua zaidi ya Bi. Nasra kushiriki shindano la Bibi bomba hapa bara.Kwa mara ya kwanza Sheikh Abeid Karume alifunga ndoa na Bibi Pili binti Ahmed Ambari mwanzoni mwa miaka ya Arubaini. Mke wake wa pili ni Bibi Ashura binti Maisara. Baada ya kutengana na wake hao wawili, Sheikh Karume alifunga ndoa na Bibi Fatma binti Gulamhussein Ismail (Fatma Karume) katika mwaka 1944 mwishoni mwa mwezi wa Novemba, harusi ambayo ilifanyika huko Bumbwini Misufini. - Ali Shaaban Juma.
Isitoshe, si Fatma tu na Ashura ambao ni wakizazi cha "mabwana", pia kuna wengine ambao waliolewa na Bwana Karume ni Bibi Nasra, Bibi Helemu na Bibi Fadya ambao kila mmoja alizaa nae mtoto mmoja wa kike.
Unawajua khabari zao hawa mabibi Nasra, Helemu na Fadya?
Pasco Zanzibar huijui. Waachie Wazanzibari wenyewe japo kidogo na sie wa pwani, kwani kwetu pia mpaka wa hii leo ni himaya ya Zanzibar na khulka zetu hazijapishana kihivyo, si kama wewe wakuja. Unalijuwa hilo?
"Sisi mambo twayajua" - Khadija Kopa.
Situmai majibu kutoka kwako lakini nna uhakika somo umelipata.
Wanabodi,
Swali hili niniliuliza mwaka mmoja na nusu uliopita, jibu ndio nimelipata leo na ni hili hapa.
Asante Mkuu Zomba, kiukweli hayo mengine yote sikuyajua zaidi ya Bi. Nasra kushiriki shindano la Bibi bomba hapa bara.
Naomba kuuliza very genuinely, hivi Karume alikuwa na wake wangapi jumla?, hawa ulinitajia hapa ni wake 7!. Jee alikuwa na watoto wangapi?!, wako wapi sasa?!, vipi hali za hao wake wengine?!.
Pasco.
Leo ni Karume Day, nami naomba kujiunga na Watanzania wenzetu maadhimisho mema ya Karume Day na kuwatakia mapumziko mema.Wanabodi,
Mwanamke kutoka Zanzibar kwa jina la Bi Nasra, aliyejitambulisha kama mke wa kwanza wa president wa kwanza wa Zanzibar, anashiriki shindano la Bibi Bomba la Clouds FM!.
Mwanamke huyo emedai kufanikiwa kupata mtoto mmoja na rais huyo wa kwanza na kusema yupo na mtoto yupo!.