Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

Mpotezee na uwe unakwenda na mkeo sait na wala usifanye nae mazoea.
Nitafanya hivyo japo sometimes ni mtihani maana unaweza kukuta siku ya kwenda site wife na yeye ana ratiba zake hivyo kuniladhimu kwenda mwenyewe
 
Habara zenu wana jf
Pasipo kupoteza muda ningependa nilisimulie jaribu linalonikabili japo kwa kifupi kama nitaweza,

Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha ,
Sasa hapa jirani yangu kama kuna mwanajeshi amenunua hii nyumba juzi juzi na hii nyumba ilikuwa haijaisha vizuri.
Huyu mwanajeshi amehamia hivyo hivyo na ana watoto wawili wakubwa mie mdogo kidogo kwao mmoja wa kike mkubwa ndio wa kiume driver wa bora bora, mie sikai kule kutokana na majukumu yangu ,
Shida ni Kila ninapokwenda site mwanzo Huyu mama mke wa mwanajeshi alikuwa ananiangalia sana anakuwa kama kapigwa na bumbuwazi imeenda nikawa nikienda peke yangu kama wife hayupo hata nikimsalimia haitikii anachekacheka tu juzi kati nimeenda kaniita kando kidogo akasema ana maongezi na mie private hataki mumewe ajue wala make wangu.
Nikastuka kidogo ila nikamjibu tu Kama hayana ubaya wowote tunaweza kuongea tu hata pale, akaniambie mie sio mtoto na ameniandikia namba yake ila yangu sijampa anesema nimtafute hapa ndio kwenye mashaka,
Na mumewe licha ya kuwa mwanajeshi tu mstaafu lakini anatokea kulee mwisho wa reli ambalo vile vile wanasifa yao ya kudumisha jadi,
Nisaidie wadau nimkwepe vipi Huyu mama mtu mzima!!?
inatafutwa kubakwa
 
Haya ingia kichwakichwa kwa mjeshi uone shughuli yake
 
Acha utoto ,hujampigia,na hajakwambia ushakuja huku na umbea wako humu.Unajuaje kama anataka kukushauri kuhusu wakazi wa eneo hilo ambao wewe unatarajia kuwa jirani yao ?
 
Asante sana mkubwa ila kumbuka mie ndio mwenyeji yeye mumewe ndio kanunua hapo juzi juzi na mie sio type ya hivyo kukaa na kuanza kupeana mambo ya umbea
 
Hahaaa hizi stori zenu bana!

Utadhani wote huwa mnaambiana jinsi ya kuziandika.

Huenda labda huwa mnaigana nyie.

Eti "Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha"

Pure hilarity!

Mshauri ajifunze kuandika kwanza.

labda wameona hizi swaga wadada wanazipenda sana.
 
Habara zenu wana jf
Pasipo kupoteza muda ningependa nilisimulie jaribu linalonikabili japo kwa kifupi kama nitaweza,

Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha ,
Sasa hapa jirani yangu kama kuna mwanajeshi amenunua hii nyumba juzi juzi na hii nyumba ilikuwa haijaisha vizuri.
Huyu mwanajeshi amehamia hivyo hivyo na ana watoto wawili wakubwa mie mdogo kidogo kwao mmoja wa kike mkubwa ndio wa kiume driver wa bora bora, mie sikai kule kutokana na majukumu yangu ,
Shida ni Kila ninapokwenda site mwanzo Huyu mama mke wa mwanajeshi alikuwa ananiangalia sana anakuwa kama kapigwa na bumbuwazi imeenda nikawa nikienda peke yangu kama wife hayupo hata nikimsalimia haitikii anachekacheka tu juzi kati nimeenda kaniita kando kidogo akasema ana maongezi na mie private hataki mumewe ajue wala make wangu.
Nikastuka kidogo ila nikamjibu tu Kama hayana ubaya wowote tunaweza kuongea tu hata pale, akaniambie mie sio mtoto na ameniandikia namba yake ila yangu sijampa anesema nimtafute hapa ndio kwenye mashaka,
Na mumewe licha ya kuwa mwanajeshi tu mstaafu lakini anatokea kulee mwisho wa reli ambalo vile vile wanasifa yao ya kudumisha jadi,
Nisaidie wadau nimkwepe vipi Huyu mama mtu mzima!!?

Msaada wangu ni kwa mfano[Imagine bastola katika njia yako ya haja kubwa
 
Subiri akufumue ubongo tukuimbie prapanda inalia. Mke wa MTU sumu na wa mjeshi ni sumu zaidi.
 
Kama haujampa namba yako ya simu usimtafut pia jaribu kumuavoid ili kuepusha kuingia kwenye scandal.
Kama utakuwa na courage unaweza mface umwambie uwez fanya anachokitak coz akijua shemej itakua soo
 
Back
Top Bottom