Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

Habara zenu wana jf
Pasipo kupoteza muda ningependa nilisimulie jaribu linalonikabili japo kwa kifupi kama nitaweza,

Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha ,
Sasa hapa jirani yangu kama kuna mwanajeshi amenunua hii nyumba juzi juzi na hii nyumba ilikuwa haijaisha vizuri.
Huyu mwanajeshi amehamia hivyo hivyo na ana watoto wawili wakubwa mie mdogo kidogo kwao mmoja wa kike mkubwa ndio wa kiume driver wa bora bora, mie sikai kule kutokana na majukumu yangu ,
Shida ni Kila ninapokwenda site mwanzo Huyu mama mke wa mwanajeshi alikuwa ananiangalia sana anakuwa kama kapigwa na bumbuwazi imeenda nikawa nikienda peke yangu kama wife hayupo hata nikimsalimia haitikii anachekacheka tu juzi kati nimeenda kaniita kando kidogo akasema ana maongezi na mie private hataki mumewe ajue wala make wangu.
Nikastuka kidogo ila nikamjibu tu Kama hayana ubaya wowote tunaweza kuongea tu hata pale, akaniambie mie sio mtoto na ameniandikia namba yake ila yangu sijampa anesema nimtafute hapa ndio kwenye mashaka,
Na mumewe licha ya kuwa mwanajeshi tu mstaafu lakini anatokea kulee mwisho wa reli ambalo vile vile wanasifa yao ya kudumisha jadi,
Nisaidie wadau nimkwepe vipi Huyu mama mtu mzima!!?
Andaa K-Y jelly Kabisa Mkuu maana utanyakwa muda so mrefu!
 
Kama haujampa namba yako ya simu usimtafut pia jaribu kumuavoid ili kuepusha kuingia kwenye scandal.
Kama utakuwa na courage unaweza mface umwambie uwez fanya anachokitak coz akijua shemej itakua soo
Asante mkuu
 
Yusufu aligoma kulala na mke wa Potifa kwa kumuogopa Mungu
Mwanzo 39:7-12
Wewe unaomba ushauri kwa upuuzi. Awe mwanajeshi, asiwe mwanajeshi; atoke mwanzo wa reli, kati ya reli au mwisho wa reli; Achana na upuuzi huo kipato chako kisiwe angamio lako.
Ushauri mzuri sana kiongozi
 
Habara zenu wana jf
Pasipo kupoteza muda ningependa nilisimulie jaribu linalonikabili japo kwa kifupi kama nitaweza,

Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha ,
Sasa hapa jirani yangu kama kuna mwanajeshi amenunua hii nyumba juzi juzi na hii nyumba ilikuwa haijaisha vizuri.
Huyu mwanajeshi amehamia hivyo hivyo na ana watoto wawili wakubwa mie mdogo kidogo kwao mmoja wa kike mkubwa ndio wa kiume driver wa bora bora, mie sikai kule kutokana na majukumu yangu ,
Shida ni Kila ninapokwenda site mwanzo Huyu mama mke wa mwanajeshi alikuwa ananiangalia sana anakuwa kama kapigwa na bumbuwazi imeenda nikawa nikienda peke yangu kama wife hayupo hata nikimsalimia haitikii anachekacheka tu juzi kati nimeenda kaniita kando kidogo akasema ana maongezi na mie private hataki mumewe ajue wala make wangu.
Nikastuka kidogo ila nikamjibu tu Kama hayana ubaya wowote tunaweza kuongea tu hata pale, akaniambie mie sio mtoto na ameniandikia namba yake ila yangu sijampa anesema nimtafute hapa ndio kwenye mashaka,
Na mumewe licha ya kuwa mwanajeshi tu mstaafu lakini anatokea kulee mwisho wa reli ambalo vile vile wanasifa yao ya kudumisha jadi,
Nisaidie wadau nimkwepe vipi Huyu mama mtu mzima!!?
Mama kaandika namba TU hajakuambia lolote wewe usharuka mwendokasi,je unajua anataka kukuambia ninia ua tayari yule pepo wako wa ngono kashakujuza???????
Ninyi vijana wa Dsm mnaabisha Taifa kwa kulegea mwili na akili pia....Taifa lina majnga kibao wewe unawza NGONO uzembe TU nothn new in ua Brains...
Mkeo mwenyewe juzi kati hapa ndiyo hivyo tena...........usiuseme moyo mimi ninakujua wewe dogo chunguza utakuja kuniambia humu au muulize yule jirani yako mkeo yukoje?????
Utalia na kusaga meno ukijua mkeo yukoje........
 
Aya tumeishajua una nyumba mbili na kikongwe kakuzimia
 
Hahaaa hizi stori zenu bana!

Utadhani wote huwa mnaambiana jinsi ya kuziandika.

Huenda labda huwa mnaigana nyie.

Eti "Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha"

Pure hilarity!
Hawajakukamata tu kijana??
 
unawaza ngono tu,je akikwambia kuna watu wanapanga kuchoma moto nyumba yako!
 
Wewe mwenyewe unajua hilo haliwezekani na kama umesoma vizuri labda kama umesoma halafu hujaelewa nilijaribu kumdadisi akaniambia nisiwe mtoto , soma upya ndio uje ucomment tena
 
Mama kaandika namba TU hajakuambia lolote wewe usharuka mwendokasi,je unajua anataka kukuambia ninia ua tayari yule pepo wako wa ngono kashakujuza???????
Ninyi vijana wa Dsm mnaabisha Taifa kwa kulegea mwili na akili pia....Taifa lina majnga kibao wewe unawza NGONO uzembe TU nothn new in ua Brains...
Mkeo mwenyewe juzi kati hapa ndiyo hivyo tena...........usiuseme moyo mimi ninakujua wewe dogo chunguza utakuja kuniambia humu au muulize yule jirani yako mkeo yukoje?????
Utalia na kusaga meno ukijua mkeo yukoje........
Naona Mkuu una hasira sana hata sijui nimekukosea nini, siku nyingine jaribu kuwa mstarabu ungeandika kwa lugha ya kistaarabu ungeeleweka zaidi kuliko ulichokiandika hapa
 
Huu uandushi si mzuri....bora bora,make cjajua ni nin
 
Ukienda huko unakosema ni site (although I believe ni uongo) kwenye mfuko wa shati weka mafuta ya baby care kabisa, maana siku si nyingi utatuletea mrejesho wa ulichofanyiwa na huyo Mjeda mwenye mke.
 
Back
Top Bottom