Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

Ukienda huko unakosema ni site (although I believe ni uongo) kwenye mfuko wa shati weka mafuta ya baby care kabisa, maana siku si nyingi utatuletea mrejesho wa ulichofanyiwa na huyo Mjeda mwenye mke.
 
Mkuu hiyo nyumba yako moja ambayo bado haijaisha unapangisha?
 
Naona Mkuu una hasira sana hata sijui nimekukosea nini, siku nyingine jaribu kuwa mstarabu ungeandika kwa lugha ya kistaarabu ungeeleweka zaidi kuliko ulichokiandika hapa
Ukweli nimeku mind maana umeona kama umrandika Thread yenye akili kumbe ujinga.Kuna mambo ya msingi tunapaswa kuyajadili kama vijana walio pevika akili and not such nonsense at all.
 
Anza ww kuandika hayo mambo ya akili, maana kwa comments zako naona bora ya mie
 
Ukienda huko unakosema ni site (although I believe ni uongo) kwenye mfuko wa shati weka mafuta ya baby care kabisa, maana siku si nyingi utatuletea mrejesho wa ulichofanyiwa na huyo Mjeda mwenye mke.
Naona umeamua kunivunjia heshima
 
Anza ww kuandika hayo mambo ya akili, maana kwa comments zako naona bora ya mie
Vaa uhusika wa yule mwanajeshi, chukulia sasa wewe ndiyo yeye alafu mimi nina andika ulivyo andika , hebu nishauri hapa sasa nimfanyaje mkeo?
Mara nyingine muwe mnatumia akili na kichwa, mkuki kwa nguruwe daima huwa ni mtamu ila kwa mwana wa Adam ni mchungu.
Nishauri hapo sasa ..............
 
Una umri gani kwani maana naona unalazimisha malumbano na kejeri na matusi plus dharau kama inakuuma sana kamwambie tu muhusika isiwe kesi sana nilichokieleza ni kilichonikuta na Nina jaribu kumuepuka huyo mtu lakini badoo naona hauelewi tu,
Sintakujibu tena
 
before the age of 30 you have two houses and a beautiful wife then your easily trapped by the woman and fail to make decison...
may be the money came too early into your life or your still too young to have a family....
 
Back
Top Bottom