mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Kwa uzoefu nilionao wake za wanajeshi kuchukuliwa ni easy lakini ukibainika muraa historia inaonesha wanaua na ushahidi ni nao.
Hahahhh wanataka kutuvutiaHahaaa hizi stori zenu bana!
Utadhani wote huwa mnaambiana jinsi ya kuziandika.
Huenda labda huwa mnaigana nyie.
Eti "Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha"
Pure hilarity!
Teh teh na huyo mama ni mtu mzima kabisa lakini nimeshindwa kumuelewa kabisa ni sawa na mama yangKwa uzoefu nilionao wake za wanajeshi kuchukuliwa ni easy lakini ukibainika muraa historia inaonesha wanaua na ushahidi ni nao.
DuhUza nyumba usionekane tena..
Kitakachofuata......
Hawezi nipata wewe kuna baadhi ya details zijaziweka hapaKijana una hatari...Huyu mjeshi na ulivojielezea yaan akikuta hii thread lazima akujue....mimi nshakujua kabisaaa!Its too risk kutoa details zako/mtu ...
Nimekusoma Mkuu vipi nimkwepeje Huyu mama maana mie mwenyewe simuhitajiUnaijua kadebra wewe kijana? Unajua kucrawl, kuroli,kubeba dunia,mapenzi ya nyoka,kibatabata,kunyonya mafuta...etc kama una nguvu fanya tu ako kamchezo
Wewe una lako jambo naomba ushauri wa namna ya kumkwepa bado unasema nakoelekea nitamgegeda na ningemgegeda ndio hata nisingekuja humuUnakoelekea unaenda tembea nae ungemkataa ata thread usingeleta umu
Achana nae mpotezee atakuletea matatizo tena mwambie ukiendelea ntamwambia mumeo na mke wangu no yake futa atakuletea matatizoWewe una lako jambo naomba ushauri wa namna ya kumkwepa bado unasema nakoelekea nitamgegeda na ningemgegeda ndio hata nisingekuja humu
Asante namba alinipa kwenye karatasi na sikuisave na niiacha huko huko site ila ushauri wako umekuwa mzuri nitamwambia hivyo asanteAchana nae mpotezee atakuletea matatizo tena mwambie ukiendelea ntamwambia mumeo na mke wangu no yake futa atakuletea matatizo
Mpotezee na uwe unakwenda na mkeo sait na wala usifanye nae mazoea.Duh hapo kwenye kula ndio inakuwa shida sema ungenipa ushauri wa kumkwepa maana nikaribia Kila wiki lazima niende huko hasa weekend
Hh