Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,582
Reaction score
7,242
Habara zenu wana jf
Pasipo kupoteza muda ningependa nilisimulie jaribu linalonikabili japo kwa kifupi kama nitaweza,

Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha ,
Sasa hapa jirani yangu kama kuna mwanajeshi amenunua hii nyumba juzi juzi na hii nyumba ilikuwa haijaisha vizuri.
Huyu mwanajeshi amehamia hivyo hivyo na ana watoto wawili wakubwa mie mdogo kidogo kwao mmoja wa kike mkubwa ndio wa kiume driver wa bora bora, mie sikai kule kutokana na majukumu yangu ,
Shida ni Kila ninapokwenda site mwanzo Huyu mama mke wa mwanajeshi alikuwa ananiangalia sana anakuwa kama kapigwa na bumbuwazi imeenda nikawa nikienda peke yangu kama wife hayupo hata nikimsalimia haitikii anachekacheka tu juzi kati nimeenda kaniita kando kidogo akasema ana maongezi na mie private hataki mumewe ajue wala make wangu.
Nikastuka kidogo ila nikamjibu tu Kama hayana ubaya wowote tunaweza kuongea tu hata pale, akaniambie mie sio mtoto na ameniandikia namba yake ila yangu sijampa anesema nimtafute hapa ndio kwenye mashaka,
Na mumewe licha ya kuwa mwanajeshi tu mstaafu lakini anatokea kulee mwisho wa reli ambalo vile vile wanasifa yao ya kudumisha jadi,
Nisaidie wadau nimkwepe vipi Huyu mama mtu mzima!!?
 
Hahaaa hizi stori zenu bana!

Utadhani wote huwa mnaambiana jinsi ya kuziandika.

Huenda labda huwa mnaigana nyie.

Eti "Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha"

Pure hilarity!
 
Mkuu mbona ume mquote tu hicho kipengele anachoonyesha mafanikio😵😵😵😵😉
 
Hahaaa hizi stori zenu bana!

Utadhani wote huwa mnaambiana jinsi ya kuziandika.

Huenda labda huwa mnaigana nyie.

Eti "Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha"

Pure hilarity!
Anajenga HOJA msije mkasema kapenda Pesa,..
 
Yusufu aligoma kulala na mke wa Potifa kwa kumuogopa Mungu
Mwanzo 39:7-12
Wewe unaomba ushauri kwa upuuzi. Awe mwanajeshi, asiwe mwanajeshi; atoke mwanzo wa reli, kati ya reli au mwisho wa reli; Achana na upuuzi huo kipato chako kisiwe angamio lako.
 
A

asante Mkuu japo ungepunguza ukali wa Maneno ungeeleweka pia
 
Hahaaa hizi stori zenu bana!

Utadhani wote huwa mnaambiana jinsi ya kuziandika.

Huenda labda huwa mnaigana nyie.

Eti "Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia kipato na Nina make, Mungu amejaalia nimefanikiwa kujenga nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja pande za Salasala DSM japo moja bado haijakwisha"

Pure hilarity!
Punguza wivu mkuu
 
Duh hapo kwenye kula ndio inakuwa shida sema ungenipa ushauri wa kumkwepa maana nikaribia Kila wiki lazima niende huko hasa weekend
Wanakula Pensheni mkuu, jilie tu wala usiogope kulogwa, si ameomba mwenyewe??
Hh
 
Ngoja wajeda wastahaf walionunua nyumba sisizoisha huko salasala waanze kukufwatilia na kufwatilia wake zao!
 
Back
Top Bottom