mke wa mtu ndo mwenyewe kaka!
uzuri wa mke wa mtu YUPO FREE SANA KWENYE HUDUMA TAKATIFU!tofauti na kidem chochote cha kitaa.mke wa mtu hakusumbui kuvua nguo wala KUJIACHIA MKIWA OLD-TRAFFORD!
yaani SHWAAAAAAAAAAAAAAAAAARI HAMNA SHARI.utakula vitu kwa nafasi bila migogoro ukimaliza huyooooo?tena anaweza akakutoa na mikwanja
Najipa mamlaka ya kukulaani kwa kuiba mke wa mtu,kufanya naye mapenzi na kushare experience yako bila kujuta.SIO UUNGWANA HATA KIDOGO.
Ah nimeoa mie
kila nikitembelea thread hii moyo unapiga kwa kasi
sichangii kitu hapa labda enzi zile nilipokuwa bachela... otea ningesemaje?
am out
Nakushauri mkulu jiandae kwa LOLOTE.Ah nimeoa mie
kila nikitembelea thread hii moyo unapiga kwa kasi
sichangii kitu hapa labda enzi zile nilipokuwa bachela... otea ningesemaje?
am out
ukisikia uchokozi ndo huo sasa.mwosha huoshwa!
Msanii,ukisikia uchokozi ndo huo sasa.
Ah haya mambo yaache tu.
unajua ukiwa nje hauna hasara kurusha mawe kwenye glass house. ila ikuwa mmiliki wa glass house lazma presha iwe juu.
We acha tu
mwosha huoshwa!
Wana Jamii,
Hii ni kali kuliko
Faida unapata kitambi bila kunywa mabiabia ovyo ovyo!
Ni hatari!
Mpelekeni Muhimbili, wengine wanapelekwa south afrika!
...faida? ha ha... unacheza wewe. Huyo mwanaume asubiri tu miezi tisa ajifungue.
"...Ni hatari!"
Siajona pale panaposema amepelekwa hospitali ya rufaa! Yaani Muhimbili.
Unataka kutuambia kuwa ujauzito umeamishiwa kwake!?...akaanze kliniki au? eti wanasema hawaoni kitu tumboni,...mwezi mmoja mimba bado changa sana, wasubirie mwezi wa tano (kwenye ultrasound) wataona kitoto tumboni!
Unataka kutuambia kuwa ujauzito umeamishiwa kwake!?
Kuna story sijui Kigoma jamaa alipanda mke wa jamaa akaonywa hakusikia...alikuwa akikojoa dagaaa....sijui kama ni kweli! Binafsi sitaki wala kutamani mke wa mtu...