miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kwa hiyo hapo wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki ama...
Ndiyo wala amna wasi wasi
kwa hiyo hapo wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki ama...
View attachment 193135
safu ya kutupia yaliyokuvutia (picha) BMK
Uyu jamaa aliyembeba ni yule sita aliyemsifia anajua kuquote vifungu vya kuran na biblia, alimpa airtime siku ya mwisho kufunga bunge, af inaonesha huyu ndo alikua dem ake kipind chote cha bunge
Chedi nini....????kudua na kugosha
Utuendereja ee..?kwa hiyo hapo wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki ama...
Huyu mama (kwa mbali huenda akawa dr. nkya wa morogoro) aliye karibu na mwenye twende kilioni kama vile yuko concerned na kinachoendelea kiasi kwamba anamshtua jirani yake ili amweleze mbebaji kwamba anachofanya si sawa. Katika kundi la wendawazimu hakosekani mwenye afadhali siku zote.
View attachment 193135
safu ya kutupia yaliyokuvutia (picha) BMK
Daah..ungeiweka hapa hiyo cartoon mkuu na sisi tuione..lol..!!!
Hizi hijab na kukumbatiana au kushikana na mwanaume ambae si mumeo zinaleta picha gani?
Vazi la hijab halijatendewa haki hapo
Mkono umekumbatia kichwa cha mbaba!!
tizama mkono ulivyozunguka halafu kifua cha mpakatwaji kimellalia wapi
Gogo la choo and others .... link ya cartoon ni hii hapa Tanzania parliament In Session - GadoDaah..ungeiweka hapa hiyo cartoon mkuu na sisi tuione..lol..!!!