mmmh!!! dizaini naona kama vile bichwa la muheshimiwa limeelekea kwenye kifua cha mpakatwaji...jamaa si ananyonya kabisa chakula cha mtoto pale...ila sio mbaya mwache anyonye ili atoe sumu za katiba yao
mtoto mwisho mapajani, akisshatembe si mtoto tena..hapo usikute na wenyewe wanatamaniView attachment 193555
Dj MBOOwe akila denda mbele ya watoto...
vumwe va vaasu
Kweli mkuu hata mimi naonamtoto mwisho mapajani, akisshatembe si mtoto tena..hapo usikute na wenyewe wanatamani
chedi ni kutikwa
Nilimaanisha yule wa mbali upande wa kulia mwisho anaekumbatiana na alievaa shati mikono mirefu, ukimuangalia kwa makini utaona ni jinsi gani alivyojistiri kama inavyostahili tofauti na huyo mwingine alienyanyuliwa(ambae sikumlenga yeye)Na ni kakuambia hiyo ni hijab? Hicho ni kilemba kama vile vya maSister wa parokia
Sio BMK lazima ilikuwa lazima road to MTV Base kuleee Daimond alipokutana na demu wa Chriss BrownHii wapi?au ni baada ya kupitisha kwa kishindo rasimu ya katiba ya Chenge na Sitta!
kwenye Blue nafikiri huyu anamweleza mwenzie kuwa " mshushe nami nimbebe bwana!