kagalala nkulungo
Member
- Dec 29, 2012
- 81
- 48
napita tu!
A true refelction of our country.
Ile cartoon iliyotolewa kwenye gazeti la Kenya ikionyesha Bunge letu haina makosa kabisa!
Huyu mama (kwa mbali huenda akawa dr. nkya wa morogoro) aliye karibu na mwenye twende kilioni kama vile yuko concerned na kinachoendelea kiasi kwamba anamshtua jirani yake ili amweleze mbebaji kwamba anachofanya si sawa. Katika kundi la wendawazimu hakosekani mwenye afadhali siku zote.
View attachment 193135
safu ya kutupia yaliyokuvutia (picha) BMK
hujaelewa somo hapo
Lucy nkya siye!
umetumwa umchafue, mama ameenda age sio kibinti hivyo.
Yuko slowly sio mtu wa chereko.
Si kimbaombao kama huyo. Angalia vizuri mkuu
hujaelewa somo hapo
Mkuu Mtwa unaonaje kama ungesoma tena comment yangu? Ukiwa sober bila hang over za Nyerere day utakuja kuniomba radhi. Ndilumba sana Mtwaveee!
sio sijaelewa Lucy nkya nafahamiana nae. Hata kwa mbaliii nakwambia huyu ndiye ama siye
kwa hiyo hapo wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki ama...kamafananisha huyo mababa na mume wake