Aiseeee
Hahahaaaaaaaaaaaaa,labda wanatumia toleo jipya aina bluututhisioni chaja hapo
sioni chaja hapo
hiyo inaitwa komputa mpakato...
Halafu hilo libebaji lishawi mbeba waifu wake kweli...kazi wataionaMmmhh kabebwa vizuri ukute hata mumewe hajawahi kumbeba hivyoo
Aaamina..Hahahaha uwii idumu jf milele
Halafu hilo libebaji lishawi mbeba waifu wake kweli...kazi wataiona
Haswaaaa!hata mrejesho wa mwili mmoja unaweza kuta ni mara moja kwa miezi miwili ila huko saiti ni mwendo mdundo na kama ingekuwa penseli angerudi homu imekwisha makali,ndoa hizi lol!Hahaaaa ukute waifu kubebwa anakionaga kwenye tamthilia tu
Aiseeee