Mke wa mtu ananitaka

Mke wa mtu ananitaka

Jamani kuna Mdada mmoja jirani na ofisi yangu, kiufupi ni bonge la mshkaji wangu na mara nyingi huwa ananiombaga simu yangu akiwasiliana na watu wake. SIMU YANGU HAIKOSAGI EXTREME humpaga n ahuwa siwagi makini kweny ematumizi yake dhidi ya simu yangu.

kumbe yeye akiwa na simu yangu pia hutumia muda huo kuangalia ama kusoma msg zangu, NA MAR ANYINGI HUKUTA MSG NILIZOCHART NA MADEM huwa sifutagi msg mie.

WINGI WA MSG HIZO NI ZA KUSIFIA CARE YANGU KITANDANI, mdada wa watu si akajikuta anapagawa na hizo msg.

SIKU nimekutana naye kwenye akaniomba simu, alipoirudisha nikakuta akairudisha na Maneno demu wako fulani analalamika mbona huendi kumpa tena. NIKACHEKA NA KUCHUKUA SIMU YANGU NA KUSEPA ZANGU.

KUANZIA SIKU HIYO AMEKUWA AKINISUMBUA NA KUOMBA NIKAMPE MAMBO JAPO MARA MOJA, sasa mie naogopa nisije nikaharibu ndoa ya watu maana kiukweli najiamini ukiniweka kitandani na mtoto ni sawa na kumweka mamba ndani ya mto. YAANI NI BALAA, sasa nahofia nisije nikampa dozi y akufa mtu akaanza kuleta dharau kwa mume wake.

MIFANYEJE KUMKWEPA???!!!!!

mgegede tuu mwanawane sii anataka alafu usisahau kupiga ule mtandao wetu wa tigo
 
sijui huwa unaongeleaa bikra ya wapi jamani wewe naomba nikubikiri?"
Bikra ya dushe maana najitahidi nikianza nianze na miaka 35 kama katiba ya nchi inavyosema kuwa mtu mzima ni yule zaidi ya miaka 35. Haya ni mambo ya wakubwa sisi miaka 23 lazima tusubiri. Unaweza kubook ila angalia miaka 12 ijayo utakuwa kibibi cha aina gani?
 
tuseme wewe mwasherati sana eeh? unawapanga sio?...hongera sana
 
Ukisikia fursa adhimu ndio hiyo, ichangamkie ila hakikisha unachezea uwanja wa ugenini ili kukwepa ya Ufoo.
 
Mwambie hao wote unawapiga mini kabang sasa kama na yeye yumo kwenye mambo hayo mpe appointment.
 
Hata kama hujatoa details zako za umri nk, ni rahisi sana mtu kuotea umri wako kupitia tangazo hili!
 
Back
Top Bottom