Mke wa mtu ananitaka

Mke wa mtu ananitaka

Truth will Remain

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
254
Reaction score
126
Jamani kuna Mdada mmoja jirani na ofisi yangu, kiufupi ni bonge la mshkaji wangu na mara nyingi huwa ananiombaga simu yangu akiwasiliana na watu wake. SIMU YANGU HAIKOSAGI EXTREME humpaga n ahuwa siwagi makini kweny ematumizi yake dhidi ya simu yangu.

kumbe yeye akiwa na simu yangu pia hutumia muda huo kuangalia ama kusoma msg zangu, NA MAR ANYINGI HUKUTA MSG NILIZOCHART NA MADEM huwa sifutagi msg mie.

WINGI WA MSG HIZO NI ZA KUSIFIA CARE YANGU KITANDANI, mdada wa watu si akajikuta anapagawa na hizo msg.

SIKU nimekutana naye kwenye akaniomba simu, alipoirudisha nikakuta akairudisha na Maneno demu wako fulani analalamika mbona huendi kumpa tena. NIKACHEKA NA KUCHUKUA SIMU YANGU NA KUSEPA ZANGU.

KUANZIA SIKU HIYO AMEKUWA AKINISUMBUA NA KUOMBA NIKAMPE MAMBO JAPO MARA MOJA, sasa mie naogopa nisije nikaharibu ndoa ya watu maana kiukweli najiamini ukiniweka kitandani na mtoto ni sawa na kumweka mamba ndani ya mto. YAANI NI BALAA, sasa nahofia nisije nikampa dozi y akufa mtu akaanza kuleta dharau kwa mume wake.

MIFANYEJE KUMKWEPA???!!!!!
 
Hili tangazo umelilipia?

Bahati yako mbaya wadada wa JF hawadanganywi na majivuno ya kitandani. Wanasemaga kugegeda hata jogoo anaweza, mambo yote wallet iongee.

We endelea kujisifia mgegedo wakati wenzio wakichanganya mahela tuone nani atakuwa shemeji wa kudumu wa mabebz wakali wa JF.
 
wakwetu acha iyo mambo mara moja futa mawazo hayo utaumbuka bora kubaki na urijali wako,,,,,,,,,,,,kashindikana huyo.........
 
Hili tangazo umelilipia?

Bahati yako mbaya wadada wa JF hawadanganywi na majivuno ya kitandani. Wanasemaga kugegeda hata jogoo anaweza, mambo yote wallet iongee.

We endelea kujisifia mgegedo wakati wenzio wakichanganya mahela tuone nani atakuwa shemeji wa kudumu wa mabebz wakali wa JF.

atangaze tu pesa ngapi anazo tuangalie
 
...ukiamua kula mzigo basi tembea na mafuta ya shanti kwa tahadhari, ili ukifumwa yakuokoe...dadeeeek
 
Hili tangazo umelilipia?

Bahati yako mbaya wadada wa JF hawadanganywi na majivuno ya kitandani. Wanasemaga kugegeda hata jogoo anaweza, mambo yote wallet iongee.

We endelea kujisifia mgegedo wakati wenzio wakichanganya mahela tuone nani atakuwa shemeji wa kudumu wa mabebz wakali wa JF.

Ankooooo...
 
Back
Top Bottom