rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Hicho ni kilio cha swaiba wangu wa karibu anaomba msaada,
Huyu mdada ana mume na maisha yao ni mazuri ya wastani, amezaa watoto 2 na mumewe cha ajabu anamtaka jamaa yangu ambaye ki umri ni mkubwa sana kuliko mumewe!
Shida ni nini? Alianza kwa kumuwekea bili ya chakula pale kwenye mgahawa wa jirani na ofisi, jamaa akawa akikuta kalipiwa anawaambia warudishe hela, haikutosha, akaomba namba za simu kwa jamaa akamnyima!
Sasa yule dada kapata namba sijui kutoka wapi! Imekuwa kero! Anamsumbua sana kwa simu! Mara we nitakupa utakacho, sitaki hela zako na mambo kibaao, jamaa anaheshimu ndoa ya huyo mama na ya kwake pia, afanyeje?
Ushauri please sio matusi