Shyshka Reinhardt
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,286
- 2,303
Mnyazi Mungu ampokee
😂😂😂😂apumzike kwa amani, tume bakiza mjomba.
Sasa wewe uko 35+, una taka uolewe na nani ka sio 50+Wababu tafadhali tafuteni wake wa umri wenu....
Hata yeye hakutaka umuoe?Nilikuaga na rafiki wa kike mmachame Kuna siku akaniambia usije jichanganya kuoa mmachame, strange!!
50 wengi hawawezi kutwanga mahindi na wanawake vinu vinakuwa vinawaka moto...Sasa wewe uko 35+, una taka uolewe na nani ka sio 50+
Kifo ni kifo tu.
Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na msanii huyo marehemu alizidiwa ghafla jana na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu, lakini jitihada za madaktari hazikuweza kuokoa uhai wake.
Taarifa hiyo ameishia Mrisho Mpoto mwenyewe akiandika 👉"Ngumu kuamini nimefiwa na Mke wangu".
#RIP
View attachment 3406814
Bila shaka itasema shangazi naye alikuwa mama.Haya atoe ngoma sasa