Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,120
- 104,647
Msechu ngoma ameshaziandika bado kuweka majina na few details 😂Hili nalo neno, mjomba msechu ana weza kumsaidia.
Msechu ngoma ameshaziandika bado kuweka majina na few details 😂Hili nalo neno, mjomba msechu ana weza kumsaidia.
Oya punguza kidogo hio skanka,I mean no malice to nobody, yeye mbele wengine mta tangulia.
Apumzike mahala pema kwa pepo.
Innalilah wa innalilah
Amen msiba utakuwa sehem gani ?Apumzike mahala pema kwa pepo.
Ila Msechu huwa ananifurahisha sana. Kumbe anabadili tu majina ya waliokufa 😂😂Msechu ngoma ameshaziandika bado kuweka majina na few details 😂
Kwa kweli sijui labda unaweza kuwa kule kwenye Kijiji cha Liuli kandokando ya ziwa Nyasa yaani kule mbambabey.Amen msiba utakuwa sehem gani ?
.
Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na msanii huyo marehemu alizidiwa ghafla jana na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu, lakini jitihada za madaktari hazikuweza kuokoa uhai wake.
Taarifa hiyo ameishia Mrisho Mpoto mwenyewe akiandika 👉"Ngumu kuamini nimefiwa na Mke wangu".
#RIP
View attachment 3406814
Wana roho mbaya hao viumbe, kuna kipindi huwa nahisi Mama Samia anaweza akawa ni mmachame..Nilikuaga na rafiki wa kike mmachame Kuna siku akaniambia usije jichanganya kuoa mmachame, strange!!
Jitahidi hata kama huna akili timamu, basi jifunze kusoma hata nyakati.HAYO MAMBO YENU WANAWAKE TUWAACHIE. MI HAPO HATA SIWAJUI WATAJWA. SEMA NA NINYI MKIWA MNATENGENEZANA NYWELE MKASIMULIANA UMBEA WE UNAKIMBILIA KUPOST JF.