Mke wa m-China

Mke wa m-China

Hongera kwa kumpata Jet Lee rapa. Vitu vya kuzingatia:-
-Jifunze karate (unaweza kufika kwao kumbe ana mke itakusaidia)
-Anza mazoezi ya kula kwa kutumia vijiti (hata wali)
-Anza kujizoesha kula vitoweo kama chura na konokono
-Pia usifikirie sana kuwapa watoto wako majina ni rahisi sana zingatia milio ya midondoko ya vitu kama uma, vijiko na sahani za chuma.
-Kila la heri bibie, Ila usisahau kunipa kadi.
 
Chura na konokono ni nyama yenye protein sana mkuu
 
wee mimi ni mmbaguzi wa rangi sina wala sitamani watu wa magharibi mimi mijitu myeusi ndo yangu hao nawaonna kama kambale tu hata awe na pesa ngapi no never
Wachina ni Asia mkuu si westerns. Mipingo imenipiga sana chini ngoja nikimbilie huku
 
Wachina ni Asia mkuu si westerns. Mipingo imenipiga sana chini ngoja nikimbilie huku
sina wazo lolote la kuwa na mtu =yeyote i mean kudate na wachina wazungu waarabu sijui wahindi wakalasinga hapana kabisa nawaza kukimbia na pichu mkononi hahaha
 
Mpaka mzee kanibwaga mbona kazi

Je unatarajia kuishi uchina, bongo au nchi nyingine?
- Kama unatarajia kuishi uchina basi hesabu maumivu. Jamaa ni wagumu sana kukubali wakwe wa rangi yetu, japokuwa wapo.
- Kama unatarajia makazi yenu yakuwa hapa bongo, uwezekano wa kutusua ni mkubwa ila angalia asiwe na yeye anataka kukutumia ili atusue
- Kama mnatarajia kwenda kuishi nchi nyingine sio uchina wala bongo, utakuwa na maisha mazuri kama mke wa expatriate ila kutusua sidhani.

Ni hayo tu
 
Mpaka mzee kanibwaga mbona kazi

Mbona sijakupata, kakubwaga au maslahi hakuna? Wanawake mna msemo wenu, "Kuwa na mtu mzima ni Faraja, kazi kidogo Malipo makubwa"

Kama ni kweli watokea kwa Mtogole achana na mchina. Sie Mambo ya "kuchikuchi" ndio kipaumbele, Wenzetu ni kinyume chake. Umbea ndio jadi Wenzetu hawapo huko. Sisi tumezing'ang'ania na kuzikumbatia DINI zetu hizi za kuletewa. Wenzetu DINI yao kubwa ni kazi.

Hata kama utamwendea kwa babu (maana hiyo ndio jadi yetu) maisha ya BAADAE yatakuboa.
 
Back
Top Bottom