Mke wa m-China

Mke wa m-China

hawa watu 18hrs wako kazini kisha 6hrs ndio muda wao wa kurelax..jifanyie haki uandamane na jemba mmoja wa hapa bongo awe akikufanyia kazi pendwa
 
Hizi namba tunazisoma wengi..na ilisemwa tutaikimbia Dar na sasa naanza kuamini.
 
Mkuu niwe mkweli niko nusu ki-maslahi nusu mapenzi
Umeanza kuwa drama queen eeh?

Huyu mchina ni mwanaume wa kumi sasa unamwanika JF, achana na akina udongo.

Hivi Mbinguni utakuwa mke wa nani?
 
Umeanza kuwa drama queen eeh?

Huyu mchina ni mwanaume wa kumi sasa unamwanika JF, achana na akina udongo.

Hivi Mbinguni utakuwa mke wa nani?
» Kuna yule alitaka wahamie South Sudan, sijui waliishia wapi.
» Kuna yule aliomzidi miaka lukuki, ana umri wa kaka yake wa kwanza, sijui walifika wapi.
» Yupo yule alikuja kumpenda dingi badala ya jamaa, daaah
» Kuna mlokole, nae sijui Bwana hakutaka.
» Mchina mwenye mbilimbi ndio ana-trend kwa sasa.
Kweli huyu ni drama queen, au the clock is ticking really fast.

By the way, #Naweka-kumbukumbu-za-kijinga-sana.
 
Zikianzishwa nyuzi za wasichana wanaochelewa kuolewa wanakuwa na msongo wa mawazo, posters wanaitwa ni sexists.

Matokeo yake ni haya sasa.
 
All the best mkuu China kuzuri tu watu wanaishi

Naona baadhi ya watu wanakushambulia ila fanya kile roho inapenda.
 
Habari za Leo wapendwa,
Nimekutana na wake wa wazungu wanaishi Tanzania wangine ughaibuni. Maisha kama mke wa mchina huko kwao yakoje kwa waliofika nchi hiyo.

Ninaomba ushauri wakuu maana hii inaweza kuwa fursa ya kunitoa Kwamtogole.
Achana na wachina, fanya mambo mengine
 
Back
Top Bottom