Mke wa m-China

Mke wa m-China

[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha hapo eti wananiona na dushe kubwa wakati bongo wsnaona na kibamia.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Vipi kuhusu utunduuu??? Utamu je???
Watamu sana mkuu. Yaani ni watamu balaa sana.
 
Usitegemee mizinga wala kupewa pesa. Wewe jiandae kubebewa mikoba tu huku wewe ukichat na simu barabarani. Hata mgongoni atakubeba ila sasa wewe kibonge unaeza mvunja mgongo. Halafu pia tegemea kulala na mumeo anaweza asioge kama kamwezi hivi au toka dongji hadi chunjia.....halafu usimsumbue sumbue kupalilia magugu nyasi kwenye kimpingo chake maana wakati mwingine magugu yanaweza yakafunika kimpingo kilivyo kidogo. Pia kwenye mavituzi jiandae kusikia milio ya dog dog snake snake bundi bundi hivi. Ni hayo tu kwa sasa.
Ananifundisha karate na kungfu, u-kibonge unakwisha.
 
Halafu hujasema rangi yako kama ni una weusi kama wa kwa kina salva kiir wenyewe mnauita black butyi ama chocolate color wenyewe mnaita maji ya kunde au weupe mbabuo n.k.....sema ndio tukupe uchambuzi mzuri. Na je nywele unasuka twende kilioni, mabutu, Rasta au unawekaga yale maywele yao
 
hivi mkuu unatania ama? ujue nimejiuliza sijapata majibu, yani na uelewa wa mambo ulokuepo nao unataka kuolewa na mchina..................
 
Vipi yule anaepamba warembo ndo ushapiga chini?, Nilikuwa nakuona maji marefu eti.
 
Halafu hujasema rangi yako kama ni una weusi kama wa kwa kina salva kiir wenyewe mnauita black butyi ama chocolate color wenyewe mnaita maji ya kunde au weupe mbabuo n.k.....sema ndio tukupe uchambuzi mzuri. Na je nywele unasuka twende kilioni, mabutu, Rasta au unawekaga yale maywele yao
Nywele ni kama Lupita rangi kidogo nimetoka kwa jongoo lakini sijafika maji ya kunde
 
hivi mkuu unatania ama? ujue nimejiuliza sijapata majibu, yani na uelewa wa mambo ulokuepo nao unataka kuolewa na mchina..................
Mkuu wa bongo mnachagua sana ngoja niende Beijing
 
Mkuu niwe mkweli niko nusu ki-maslahi nusu mapenzi
hahahaha msema kweli ni mpenz wa Mungu...

hayo maslahi nayo magumu, wale hawapendi kama sisi tuseme utamkoleza ajisahau.

utaenda kuzalishwa watoto feki tu [emoji23][emoji23][emoji16][emoji23]
 
Hatimaye swahiba wangu umekamatika.... Loooo

Kwahiyo uko tayari kusacrifice mapenzi kwa gharama ya maslahi, au utakuwa unacheat na kina sisi ambao kuwatafunia ngozi nyeupe ndio kipaumbele chetu?
 
Swahiba number yangu usiifute inawezekana tukahitajiana siku za usoni.
 
Back
Top Bottom