Mke wa m-China

Mke wa m-China

Mkuu, mpaka uolewe hakuna rangi tutaacha kusoma. Ila sasa ile mbilimbi yake...mmmh, si umeshazoea "dickson mweusi"??
 
hawapendi sana sex wanaweza kaa ata miez sita bila sex jiandae kisaikologia

wanavibamia jiandae kisaikologia

utaniuliza nimejuaje nimetembea na wachina zaid ya kumi wananiona na dushe kubwa kumbe bongo naonekana kibamia)

kuna mitaa ya chakula ching yan iko hongkong wanachoma mbwa vizuri jiandae kisaikologia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha hapo eti wananiona na dushe kubwa wakati bongo wsnaona na kibamia.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Vipi kuhusu utunduuu??? Utamu je???
 
Mbona sijakupata, kakubwaga au maslahi hakuna? Wanawake mna msemo wenu, "Kuwa na mtu mzima ni Faraja, kazi kidogo Malipo makubwa"

Kama ni kweli watokea kwa Mtogole achana na mchina. Sie Mambo ya "kuchikuchi" ndio kipaumbele, Wenzetu ni kinyume chake. Umbea ndio jadi Wenzetu hawapo huko. Sisi tumezing'ang'ania na kuzikumbatia DINI zetu hizi za kuletewa. Wenzetu DINI yao kubwa ni kazi.

Hata kama utamwendea kwa babu (maana hiyo ndio jadi yetu) maisha ya BAADAE yatakuboa.
Babu alishindwa kuandika jina Xhio liingizwe kwenye tunguli
 
Je unatarajia kuishi uchina, bongo au nchi nyingine?
- Kama unatarajia kuishi uchina basi hesabu maumivu. Jamaa ni wagumu sana kukubali wakwe wa rangi yetu, japokuwa wapo.
- Kama unatarajia makazi yenu yakuwa hapa bongo, uwezekano wa kutusua ni mkubwa ila angalia asiwe na yeye anataka kukutumia ili atusue
- Kama mnatarajia kwenda kuishi nchi nyingine sio uchina wala bongo, utakuwa na maisha mazuri kama mke wa expatriate ila kutusua sidhani.

Ni hayo tu
Maisha kote kote China na bongo tutakaa China miezi sita na bongo sita. China anafuga kuku ndiyo tuna angalia fursa ya kuwa na morden incubators hapa bongo tuendeleze libeneke
 
Habari za Leo wapendwa,
Nimekutana na wake wa wazungu w

Ninaomba ushauri wakuu maana hii inaweza kuwa fursa ya kunitoa Kwamtogole.
Wewe si ulisema kila kitu hao watu ni petit a.k.a kibamia na huna hamu nao sababu alikuchafua tu sasa unatamani nini tena??
 
Wewe si ulisema kila kitu hao watu ni petit a.k.a kibamia na huna hamu nao sababu alikuchafua tu sasa unatamani nini tena??
Alipotamka andoa yale yote yani kuwa melted down mkuu achana na kitu walking down down the Isle in a white dress.
 
Mke wa m-china uchinani? UTATENGWA HATA UWEJE.

Kaa nae mbali kwa hali zozote hata awe na mshiko kama Trump, narudia kaa nae mbali.
 
Habari za Leo wapendwa,
Nimekutana na wake wa wazungu wanaishi Tanzania wangine ughaibuni. Maisha kama mke wa mchina huko kwao yakoje kwa waliofika nchi hiyo.

Ninaomba ushauri wakuu maana hii inaweza kuwa fursa ya kunitoa Kwamtogole.
Usitegemee mizinga wala kupewa pesa. Wewe jiandae kubebewa mikoba tu huku wewe ukichat na simu barabarani. Hata mgongoni atakubeba ila sasa wewe kibonge unaeza mvunja mgongo. Halafu pia tegemea kulala na mumeo anaweza asioge kama kamwezi hivi au toka dongji hadi chunjia.....halafu usimsumbue sumbue kupalilia magugu nyasi kwenye kimpingo chake maana wakati mwingine magugu yanaweza yakafunika kimpingo kilivyo kidogo. Pia kwenye mavituzi jiandae kusikia milio ya dog dog snake snake bundi bundi hivi. Ni hayo tu kwa sasa.
 
Maisha kote kote China na bongo tutakaa China miezi sita na bongo sita. China anafuga kuku ndiyo tuna angalia fursa ya kuwa na morden incubators hapa bongo tuendeleze libeneke
Hizo ni story tamu tamu ila hazinaga uhalisia ukiisha ingia kwenye game.
 
Back
Top Bottom