Mke wa kaka anataka tuendelee

Wee dogo fala sana,
KAMA ANA MWIBIA KAKA YAKO ANA KUNUNULIA BODA BODA,

Je kwa vidume wengine kitaa??
 
"Mlingilili"sidhani kama ni *Mringiriri"

Wanyamwez hawatumii 'R' , ila umenukumbusha mbali huyo jamaa alikuwa anapatikana maeneo ya kiloleni tulikuwa tunenda kuchek movie enzi hicho kwenye kibanda umiza chake
 
Stupid...
 
Wanawake wana mitego sana mkuu mtot ana makalio hatar
Kaka ako atApata dhambi ya kukulainisha urojo kwa mafuta ya mgando.. Kapenda mpaka kaoa we unaleta utoto wakooo [emoji848]
 
kama kaka yupo JF,tayari umejulikana ,ulichokosea ni sema 'kabila lake' ,'tukio harusi huko tabora' akiunganisha dots umekwisha
 
Mpaka hapa kaka yako ameshajua umemla mke wake usifikiri yeye haingii humu. Ni swala la kuunganisha dots tu anajua hii stori inamhusu. Jiandae kwa yajayo.
Haswaa.

Kataja Sikonge, kuhudhuria sherehe na shem, kabila la shem (mbulu)...
Wala haisumbui kuunga dots
 
Dogo kumbe ndio tabia yako leo nikirudi nyumbani nisikukute aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Aise utakuwa na moyo wa chuma, usio na utu wala huruma kwa kaka yako.....nakushauri acha kuwanae, upukana nae.
 
Endelea tu mkuu ila cku utakutana na wahuni wakafumua marinda basi ujue wazi kwamba kaka kawatuma.

Maana yuko hapa jf na details muhimu umeshatoa.

1. Kaka atagundua ww ndo alikutoa kijijini kwa ajili ya biashara zake.

2. Mke wake ni mmbulu.

3. Ilitokea sherehe ya mdogo wenu wa kike, akapewa taarifa, akaomba udhuru, akakutuma uende na shemeji na ukamla

Kujihakikishia tu kwamba ni ww atafanya tu kuuliza ni mziki gani uliletwa na je mlikua kwenye mziki na shemeji au mlitoka? Baasi.

UMESHALIWA MKUU
 
Kizuri Kula na nduguyo kuliko kikaliwa na wengine
 
Kula mzigo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…