Mke wa kaka ananitia majaribuni

Mke wa kaka ananitia majaribuni

Umenikumbusha sana ili neno nimtindue,kipindi nipo chuo,tulikuwa tunalitumia sana,baada ya kutoroka na kwenda kutafuta papuchi kijiji cha jirani,tukitoka tu tunasema tayari nimeshamtindua wawili hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chuo gan mkuu??
 
Umenikumbusha sana ili neno nimtindue,kipindi nipo chuo,tulikuwa tunalitumia sana,baada ya kutoroka na kwenda kutafuta papuchi kijiji cha jirani,tukitoka tu tunasema tayari nimeshamtindua wawili hivi
Ni neno maarufu sana kule kiumeni sehemu ambapo watu hufunzwa uvumilivu wawapo maeneo magumu na hatarishi
 
Habari za weekend wadau ,I hope mko Poa labda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ni hivi nmepata kalikizo kafupi kutoka kiumeni (kwa watabe wa kubeba dunia) now nko dar nmekuja kumsalimia kaka Mana ni muda toka tumeachana mm nkiwa arusha (kiumeni).
Shida iliyonifanya niandike uzi huu ni huyu shemala wangu ,yaaan mke wa kaka Mana toka nimefika hapa ni shida tupu kwa mazingira anayoniwekea na hali hua tete kaka akienda kazini kila nikikaa sebuleni na yeye anakuja tena akiwa na nguo amabazo hua hazinibariki kbsa ukizingatia yeye ni mke wa kaka yangu ,hua anapenda sana kuniangalia usoni na kutabasamu kuna siku nlikua nmetulia zangu nacheki movie akaja akawa ananipigisha story haishi kunisifia Mara chlorine gas ww ni mpole kuliko kaka yako Mara macho yako yananichanganya sometimes namkatisha maongezi kwa kuleta mada zingine hali hii inaniogopesha Mana hata tukiwa tupo na kaka huyu shemela ananitupia vimacho vya wizi wizi as if kuna kitu anataka ,nmejarbu kujiweka mbali kwa kuwatembelea washkaji zangu na hata nkirudi nyumban najifungia chumbani lakn kila nkitoka analalamika kwenye meseji eti nmeenda kwa vimada vyangu badala nikae nyumbani nitulie ukizingatia kazi yangu mm ni ya kubeba vyuma(sifa damu) sasa nashindwa cha kufanya hapa nmepanga nisepe zangu mji kasoro bahari nkamalizie likizo yangu nirudi kiumeni arusha ,naogopa sana wake za watu jaman wanawake mlio kwenye ndoa msitutie majrbuni mashemeji zenu tunapokuja kuwasalimia kumbukeni na sisi tuna ugwadu vile vile mambo yanapotuzidia punguzeni Mitego.

Pita nae kama mwewe [emoji100]
 
Watu piga huyooo pigaa pigaa huyoooo pigaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawewe kwenda kukaa kwa kaka yako likizo nzima si ufala wewe ndii unamtega mke wa kaka yako, kaa siku3 ya nne unasepa likizo waeza ngorongoro, mikumi an dkama umeamua kutembelea ndugu usiweke kambi kama unajiandaa na mechi za afcon
 
Haiwezekan akupe majaribu hayo mkuu “wewe mpole kuliko kaka ako” mpe cha kumpendeza roho yake ila KAKA. Hapo akijua udugu utahepa
Na kitu ambacho nakiogopa Mana shobo zinazd had kaka akiwepo naogopa sana kwa kweli
 
Nawewe kwenda kukaa kwa kaka yako likizo nzima si ufala wewe ndii unamtega mke wa kaka yako, kaa siku3 ya nne unasepa likizo waeza ngorongoro, mikumi an dkama umeamua kutembelea ndugu usiweke kambi kama unajiandaa na mechi za afcon
Sawa. Mkuu nmekoma kukaa kwa watu
 
Kwanza hadi hapo nimekuheshimu your a man ,And ur bro should be proud of you ,run nigga run
 
Back
Top Bottom