Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Shemeji nakupendaPoa shemeji
Shemeji nakupendaPoa shemeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hainaga ushemejiKazi za manfongo izo
Hahahaha ndie anapenda hio stori ?
Aisee biblia sehemu gani mkuu nijisomeeAchana na hilo shetani, rudi home. Biblia inasema "mwanamke ndo chanzo cha dhambi duniani, na wote mtakufa kutokana na yeye" mtavunja undungu kwa ajili ya nyoro.
Mwache apite naeSasa si ukapande hood uwahi moro?
Afu likizo gani unajazana kwa watu? kutembea kwa mtu siku 2 tatu unasepa wee unajibwaga bwaga kwenye masofa tu afu wenzio wamezoea kunjunjana shoo za kibabe sebuleni wewe umeenda unawajazia jam.
Ondoka mkuu.
Anataka nini kwani?
Kiukweli mm sio mwandishi mzurii nisamehe kwa hilo ila kwa ku mpa anachotaka ni vigumu japo najua anataka nimtindue
Ayo yako mkuu,,Katazama movie ya Ray kaja kuandika humu.
Hapana bora kwa wengine sio kwa mke wa bro wanguLabda bro hapigi mzigo vya kutosha,msaidie
Aya[emoji777]Aya yako mkuu,,
So ale mke wa mtu?Ndiyo anakutega hapo sasa hivi nini?
Maana uandishi wako hauna viwango.
Mpe anachotaka.
Nmependa hako ka picha kwenye avatar yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayo mambo wala hayahitaji ushauri. Fanya kumpotezea likizo ikiisha rudi home. Ni ujinga kuleta mada huku kama jambo ziiito kumbe liko chini ya maamuzi yako.
So ale mke wa mtu?
Muwaonee huruma wake zetu jmn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuuKiumeni,Kubeba dunia,sifa damu!!!! Haha mkuu rudi kiumeni tu au pitia Masika hapa moro uje ukae na wazee wenzako. Punguza kumtembelea kaka yako kama hujaalikwa
Ntaondoka buanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nini hutaki? Basi kawahi magari uondoke.
So mtu akitaka kitu apewe tuu. Hata mimi nikitaka..Mke si anataka mwenyewe . ampe au aondoke.
Sawa ntamwambia[emoji23]Aya[emoji777]
Haya[emoji3581]
Uko kwa shemeji yako ukipata muda mwambie akufundishe kusoma.