Mke wa kaka ananitia majaribuni

Mke wa kaka ananitia majaribuni

Habari za weekend wadau ,I hope mko Poa labda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ni hivi nmepata kalikizo kafupi kutoka kiumeni (kwa watabe wa kubeba dunia) now nko dar nmekuja kumsalimia kaka Mana ni muda toka tumeachana mm nkiwa arusha (kiumeni).
Shida iliyonifanya niandike uzi huu ni huyu shemala wangu ,yaaan mke wa kaka Mana toka nimefika hapa ni shida tupu kwa mazingira anayoniwekea na hali hua tete kaka akienda kazini kila nikikaa sebuleni na yeye anakuja tena akiwa na nguo amabazo hua hazinibariki kbsa ukizingatia yeye ni mke wa kaka yangu ,hua anapenda sana kuniangalia usoni na kutabasamu kuna siku nlikua nmetulia zangu nacheki movie akaja akawa ananipigisha story haishi kunisifia Mara chlorine gas ww ni mpole kuliko kaka yako Mara macho yako yananichanganya sometimes namkatisha maongezi kwa kuleta mada zingine hali hii inaniogopesha Mana hata tukiwa tupo na kaka huyu shemela ananitupia vimacho vya wizi wizi as if kuna kitu anataka ,nmejarbu kujiweka mbali kwa kuwatembelea washkaji zangu na hata nkirudi nyumban najifungia chumbani lakn kila nkitoka analalamika kwenye meseji eti nmeenda kwa vimada vyangu badala nikae nyumbani nitulie ukizingatia kazi yangu mm ni ya kubeba vyuma(sifa damu) sasa nashindwa cha kufanya hapa nmepanga nisepe zangu mji kasoro bahari nkamalizie likizo yangu nirudi kiumeni arusha ,naogopa sana wake za watu jaman wanawake mlio kwenye ndoa msitutie majrbuni mashemeji zenu tunapokuja kuwasalimia kumbukeni na sisi tuna ugwadu vile vile mambo yanapotuzidia punguzeni Mitego.
Kwa watabe(au wababe) wa kubeba dunia ni kina nani hao mkuu?. Kazi yako ya kubeba vyuma ndio kazi gani hiyo? ni kampuni gani inatoa hiyo ajira? (inaweza ikawa na mshahara na malupulupu kibao?). (sifa damu-hii ni nini?). Halafu shemeji umesema unamuacha unaenda mji kasoro bahari kumalizia likizo? Hiyo inatosha
 
Kwa watabe(au wababe) wa kubeba dunia ni kina nani hao mkuu?. Kazi yako ya kubeba vyuma ndio kazi gani hiyo? ni kampuni gani inatoa hiyo ajira? (inaweza ikawa na mshahara na malupulupu kibao?). (sifa damu-hii ni nini?). Halafu shemeji umesema unamuacha unaenda mji kasoro bahari kumalizia likizo? Hiyo inatosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kubeba vyuma si gym mzeiyaaaa
 
Back
Top Bottom