chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,544
- 2,693
- Thread starter
- #101
Ndo njia pekee nliyo amua mkuuKwanza hadi hapo nimekuheshimu your a man ,And ur bro should be proud of you ,run nigga run
Ndo njia pekee nliyo amua mkuuKwanza hadi hapo nimekuheshimu your a man ,And ur bro should be proud of you ,run nigga run
Na kitu ambacho nakiogopa Mana shobo zinazd had kaka akiwepo naogopa sana kwa kweli
Likizo yangu ni fupi tu mkuu tena siku hazizidi cku kumi kaka yeye ndo aloniita wala sina tabia ya kwenda kwakeHivi kama wewe ni mtafutaji unakaaje nyumbani kwa mtu week zaidi ya moja?.
Shemeji mambo?
Poa shemeji
HahahaRambo.
Basi tumekwisha kujua acha unangaNi neno maarufu sana kule kiumeni sehemu ambapo watu hufunzwa uvumilivu wawapo maeneo magumu na hatarishi
Santee ndo nn man!!!? Sema "asante" bhn, hizi swaga tuwaashie mamanziSantee kwa ushauri ndo Mana nataka nisepe zangu niende Moro niikimbie dhambi
True...Santee ndo nn man!!!? Sema "asante" bhn, hizi swaga tuwaashie mamanzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkanye mkeoAfu unaju kk yko nipo kwa hii nyuzi nakufuatilia tu sema hujui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] waarabu wapembaBasi tumekwisha kujua acha unanga
Duu kweli hata mm naona ndo Mana najiongeza mwenyewe kusepaInafukuzwa kijanja hapo
Likae mbali kwa kwelMke wa kaka kukuingiza majaribuni; hilo ni pepo (in Mchungaji Massanja voice)
Mtazamo tuArusha ni kiumeni? Nauliza tu
Sawa mkuuSantee ndo nn man!!!? Sema "asante" bhn, hizi swaga tuwaashie mamanzi