Mke wa jirani amekuwa mtihani kwangu

Mke wa jirani amekuwa mtihani kwangu

Huitaji ushauri kitu kama huna mpango nacho unaachana nacho sasa unataka ushauri wa kukuunga mkono unachowaza kufanya
 
Usisahau kuleta mrejesho wa KY maanahuo ndio wa muhimu sana.
 
Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili.

Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani yangu ananipa taabu sana. Nikirudi tu gheto, huyu hapa kaka hujambo, mbona mpweke sana, nikupe kampani. Mara ooh nyie watu wa Tanga mko vizuri, mara kaka unaonekana mwingi wa mahaba.

Nimeshamuonya mara kadhaa kuwa huo mtego wake utamletea maafa hasikii. Ni mama mzuri na hajazaa bado. (actually amefungasha vizuri). Hofu yangu naona kama uzalendo unafikia mwisho sasa.

Nifanyeje jamani?
Sasa kama hajazaa mbona wamzeesha kwa kumuita mama mke wa jirani? Sasa huyo mwananke anataka kukupa kampani kwani mume wake huwaga wapi nyakati hizo za jioni we unaporudi nyumbani? mbona katika habari yako hukuzungumzia kuhusu mume wake kuwa anafanya kazi gani? kama ni mtu wa kusafiri sana wewe msaidie tu kutunza mke. Au je kama huyo mwanamke kapanga njama na mume wake ili akufumanie akukule kiboga?
 
JITAHIDI na wewe umege
 
KAMA UNATAKA MSAADA WA KIDUME KUJA NA MADA YENYE TITLE KUWA "NIMEGEGEDA MKE WA MTU KANIGANDA NIFANYE VIPI KUJINASUA" ILA KWA HII MADA HATUWEZI KUPOTEZA MUDA
 
Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili.

Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani yangu ananipa taabu sana. Nikirudi tu gheto, huyu hapa kaka hujambo, mbona mpweke sana, nikupe kampani. Mara ooh nyie watu wa Tanga mko vizuri, mara kaka unaonekana mwingi wa mahaba.

Nimeshamuonya mara kadhaa kuwa huo mtego wake utamletea maafa hasikii. Ni mama mzuri na hajazaa bado. (actually amefungasha vizuri). Hofu yangu naona kama uzalendo unafikia mwisho sasa.

Nifanyeje jamani?
Hama mtaa, ukishahama nambie nikurudishie kodi yako naitaka hiyo nyumba.

Tumbafu..... shetani keshakuteka kichwa chako unatafuta justification hapa. Subiri waje kukutatua marinda
 
Sasa kama hajazaa mbona wamzeesha kwa kumuita mama mke wa jirani? Sasa huyo mwananke anataka kukupa kampani kwani mume wake huwaga wapi nyakati hizo za jioni we unaporudi nyumbani? mbona katika habari yako hukuzungumzia kuhusu mume wake kuwa anafanya kazi gani? kama ni mtu wa kusafiri sana wewe msaidie tu kutunza mke. Au je kama huyo mwanamke kapanga njama na mume wake ili akufumanie akukule kiboga?
... Mumewe sipendi kutoa identification yake humu.... Huenda akawa anapita humu JF halafu ikaleta kizaazaa bure..
But he spend most the time mikoani... Twice or thrice a month anakuwepo home then siku mbili tatu anaamsha.... So bibie muda mwingi anakua alone na back 2 aka mdada kazi.
 
Back
Top Bottom