Mke wa jirani amekuwa mtihani kwangu

Mke wa jirani amekuwa mtihani kwangu

Yuko njama na mme wake, unawekwa kati unarekodiwa na video kabisa unaambiwa kila mwisho wa mwezi umlipe mumewe nusu ya mshahara wako au video isambazwe.
Wasambaze video tu na mtaa nahama[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimewqza tu
 
Ni bongo pekee mtu anakuambia yuko busy na bado unakuta anapata mda wa kuandika vitu kama ivi
..... Kumbe ulitakaje ndugu.... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sijakuelewa vizuri.... Kumbe ukiwa busy basi hata kuchamba.... ndo basi tena!!!? Do you think being busy.... Basi tena.... Fully engaged... Tunatenga na
Muda kidogo wa kukutana na watu wastaarabu kama wewe.... Asante lakini.. Umechangia ubongo wako.... You are genius ndugu.
 
Fanya kilicho kuleta hapo ndani.
Kama n wake za watu basi inshaalah
 
... Ni mama coz yupo between 37 na 42 hivi... She was supposed to have kids..... I suggest! Ila bado anafaa kwenye menu.
dogo mapenzi umeanza ukubwani sio? we mke wa mtu anakufuata geto unachekelea tu hapo naasume hilo geto ukute mnashare na wapangaji wengine halafu wanakuona na mke wa mtu...mshukuru Mungu hadi sasa hujatatuliwa marinda..wenzio siku ya kwanza tu ni kumtimua huyo mama..na wale wahuni unamwomba mkutane ikiwezekana wilaya nyengine kabisa na ukishadukua mara moja hurudi...
 
Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili.

Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani yangu ananipa taabu sana. Nikirudi tu gheto, huyu hapa kaka hujambo, mbona mpweke sana, nikupe kampani. Mara ooh nyie watu wa Tanga mko vizuri, mara kaka unaonekana mwingi wa mahaba.

Nimeshamuonya mara kadhaa kuwa huo mtego wake utamletea maafa hasikii. Ni mama mzuri na hajazaa bado. (actually amefungasha vizuri). Hofu yangu naona kama uzalendo unafikia mwisho sasa.

Nifanyeje jamani?
Tanzania ina wanawake zaidi ya mil 15 waliofungasha
Nikuulize huyo ndo wa kwanza kumuona na huwa unafanyaje kwa hao mil 15
Cha kukushauri ao then acha mazoea na malaya
 
Acha ujinga....
Cha msingi siku jamaa yake akikudukua marinda usisahau kuleta uzi wa ushuda tu
 
Back
Top Bottom