Mke wa jirani amekuwa mtihani kwangu

Mke wa jirani amekuwa mtihani kwangu

Ukihama niuzie chumba chako na mimi n ijaribu bahati yangu na mimi ni mtanga
..... Kwa kweli Mayonene.... Nitafanya hivyo ndugu yangu.... Mitihani hii... Ila nadhani labda huyu bibie anahisi mimi ni muumini wa "kiboga" Maana simuelewi kabisa... Mara ooh nyie watu wa Tanga bwana.... Samaki lazma mumgeuze!!! Kwa hiyo jipange ndugu. Maana yupo vizuri.... Leo jioni kadai eti nisipike. Ataniletea menu.. Mara ooh... Kama una uzi imara naomba.... Eti shanga yangu imekatika.. Mara ooh nina kichunusi cha takoni.... Naomba unisaodie kukikamua.... Al murad tu bibie huyu haishi vitimbwi.
 
Sawa kaka ninaanza mazoezi ya kukaa choo cha shimo muda mrefu nizoee ile harufu
 
Kaka bullshark kaza roho kaka. Hakuna dhambi mbaya kama kutembea na jirani yako ama mwanamke wa mtaa mmoja, waulize washongo ama watu wenye uwelewa wakina GuDume watakueleza vizuri. Mwanaume rijali hasa hatembei na mpangaji mwenziwe ama jirani yake ni kosa kubwa kaka
 
Mkwepe sana aisee,,,,,,,,,,ukishindwa mtafute at your own risk.
 
Kaka bullshark kaza roho kaka. Hakuna dhambi mbaya kama kutembea na jirani yako ama mwanamke wa mtaa mmoja, waulize washongo ama watu wenye uwelewa wakina GuDume watakueleza vizuri. Mwanaume rijali hasa hatembei na mpangaji mwenziwe ama jirani yake ni kosa kubwa kaka
Oooh! Asante Dharra
 
Dah... Sikuwahi kujua kama kuna wanaume waoga hivi.....mgonge tu bana...kama kufa utakufa kishujaa[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom