Mke wa jirani amekuwa mtihani kwangu

Mke wa jirani amekuwa mtihani kwangu

Dah mkuu unaomba ushauri na wakati jibu unalo mwenyewe
 
Mi nakushauri uachane nae kabisa tena kaa nae mbali, mahusiano na mke wa mtu mara nyingi mwisho wake huwa ni mbaya.
Asante Jemedari wangu kwa ushauri mwema. Mwisho wa mwezi kodi yangu inaisha. Nahama kabisaaaa mtaa huu. Nahisi nitaanguka majaribuni.... Ashinndwe na alegee. (ila amekaa vizuri mwanangu kwa kunyofolewa, acha tu.)ila ngoja nifanye maamuzi magumu.... Inshaallah!!! [emoji122]
 
Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili.

Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani yangu ananipa taabu sana. Nikirudi tu gheto, huyu hapa kaka hujambo, mbona mpweke sana, nikupe kampani. Mara ooh nyie watu wa Tanga mko vizuri, mara kaka unaonekana mwingi wa mahaba.

Nimeshamuonya mara kadhaa kuwa huo mtego wake utamletea maafa hasikii. Ni mama mzuri na hajazaa bado. (actually amefungasha vizuri). Hofu yangu naona kama uzalendo unafikia mwisho sasa.

Nifanyeje jamani?
Hama hapo kabsaa wala usiendelee kumkemea dhambi ya zinaa ni kuikimbia !!!kama unabsha kamuulze Yusuf kweny biblia na yule mke wa potifa..alitimua mbio usiombe
 
Hama tena mkuu
 
acha kutuangusha wanaume wenzio aiseee ...mimi nilitegemea kuona ukiwa unatuletea thread inayosema kuwa umeshamkula ...
Actually mi niko mbele yako kidogo, nilifikiri keshakamatwa na anatekeleza masharti kutoka kwa mwenye mme!!
 
Hama hapo kabsaa wala usiendelee kumkemea dhambi ya zinaa ni kuikimbia !!!kama unabsha kamuulze Yusuf kweny biblia na yule mke wa potifa..alitimua mbio usiombe
Inshaallah ndugu yangu kwa nasaha njema.... Mwisho wa mwezi pia naona mbali... Anakuja kwa kasi ya kutisha mwanamke huyu. Na mitego yake ya kula aina. Doooh. Hataree... Sijui kwa nini nilimpa namba yangu ya simu. Anasumbua kweli. Sasa hivi kanitext ati ataniletea burger jioni. Leo geto sitii timu wallahi. Kutaharibika tu.
 
Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili.

Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani yangu ananipa taabu sana. Nikirudi tu gheto, huyu hapa kaka hujambo, mbona mpweke sana, nikupe kampani. Mara ooh nyie watu wa Tanga mko vizuri, mara kaka unaonekana mwingi wa mahaba.

Nimeshamuonya mara kadhaa kuwa huo mtego wake utamletea maafa hasikii. Ni mama mzuri na hajazaa bado. (actually amefungasha vizuri). Hofu yangu naona kama uzalendo unafikia mwisho sasa.

Nifanyeje jamani?
Kula au weka namba ya simu humu watu washughulike naye
 
Actually mi niko mbele yako kidogo, nilifikiri keshakamatwa na anatekeleza masharti kutoka kwa mwenye mme!!
hahaaa naaam kweli wewe upo mbele yangu ubongo wako unasafiri kwa speed ya mwanga ....hata hvyo angekuwa amekamatwa asingesema aiseee"""
 
..we jamaa unazengua sana..ungetakiwa ulete thread hapa..JIRANI YANGU ANAELEKEA KUJUA KWAMBA MKE WAKE ANATEKETEA KILA WEEK GHETO KWANGU..tukushauri kwamba ubadilishe location
 
... Mumewe sipendi kutoa identification yake humu.... Huenda akawa anapita humu JF halafu ikaleta kizaazaa bure..
But he spend most the time mikoani... Twice or thrice a month anakuwepo home then siku mbili tatu anaamsha.... So bibie muda mwingi anakua alone na back 2 aka mdada kazi.
Kula, kula,kula usisahau kuosha midomo
 
Hilo ni jipu achana nalo litakuharibia wamepanga na mumewe utafumaniwa mjini shule kaka
 
Mkaripie! Acha kabisa kuendekeza utani/masikhara na mke wa MTU.
Inauma sana mkuu!
Vaa viatu vya Mume wake uone kama vitakuenea
 
Back
Top Bottom