Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,252
- 3,074
Mmh sasa sndo vizuri wacha tu ajenge wanawake wakiwezeshwa wanaweza🙂
Atengenezewe kitabu.Hii ni thredi yako ya 11 leo tu.
@Moderators tunaomba mziunganishe.
jamaa kajiunga leo tayari ana thread 11?
Brother ana mke wake (mmachame) wana miaka 8 ya ndoa sasa na wana nyumba yao mitaa fulani hapa Dar.
Sasa juzi amekutana na rafiki wa mke wake akawa anampa hongera ''shemeji kweli nimekukubali ile njenge unayodondosha kule mbezi ni majanga, nawewe ulipata mgao wa escrow nini'' bro akawa anashangaa huku anasema mbona mi sina nyumba nyingine, huyu best akazidi kumwaga data, si kule ambapo mke wako huwa anasimamia.
Bro ikabidi awe muwazi kuwa sifahamu lolote kuhusiana na hilo jambo please naomba tupangesiku nikapaone, sasa ameenda amekuta mjengo wa hatari. Floor mbili zishakamilika na alikuta siku hiyo mafundi wakipaua vigae.
Bro alipata pressure, mpaka muda hajamuuliza mke wake, haelewi pesa katoa wapi maana hana hata uwezo wa kununua uwanja mke wake anapesa za voucher na kuendea saloon tu.
Bro anasema anasubiria aone mwisho wake itakuwaje, japo hana amani kabisa muda huu.
By: SUPU YA MAWE
Ila mkuu SUPU YA MAWE , wewe unakaa sehemu ngapi?? Mara upo tanga unasema wanawake wa tanga hawanyoi mavizu , mara upo kanda ya ziwa unasema wanawake wa bukoba wana papuchi oversize. Mara upo dar bro wako anachepukwa na mkewe , duuuh!! Aisee leo kweli umevurugwa
Kwa mmachame sishangai.
Mjengo ukikamilika siku za kakako zianze kuzihesabu. Akifika miaka 3 chinja beberu.
jamaa kajiunga leo tayari ana thread 11?
Mbona kama hadithi ya kutunga hii!
Hii ni thredi yako ya 11 leo tu.
@Moderators tunaomba mziunganishe.