mke mwema hutoka kwa Bwana, je mume mwema hutoka wapi?
hakuna mume mwema.
mke mwema hutoka kwa Bwana, je mume mwema hutoka wapi?
<br />
<br />
mke ni adui mnaelala kitanda kimoja
Nadhani ni urafiki uliorasimishwa, mtoto ndio ndugu yako.
eti wakuu nisaidieni mke wako ni ndugu yako au rafiki yako? na sababu ni zipi?
eti wakuu nisaidieni mke wako ni ndugu yako au rafiki yako? na sababu ni zipi?
Nilipooa niliambiwa tumeungana na kuwa mwili mmoja, sasa huo undugu au ujirani unatoka wapi? Mke ni zaidi ya ndugu mkuu, watoto pia si ndugu zako ni tunda la huo umoja, uzao wako/wanao. Soma vitabu vitakatifu.
ni jirani yako