Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

mke ni lazima awe na uke wa kumpa mme,huyo ndio mke
inafurahisha sana mwanaume anapomwita mwanamke 'mke wangu" kwani wanataja nyuchi hadharan,halaf kila mtu anajua huo uke ni mali yake
 
Mume ni kila kitu kwangu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kulikuwa na wimbo:
kama ni ndugu mbona mwaachana kama marafiki? Kama ni rafiki mbona unamjali kuliko ndùgu.
mke wako ni sawa na ndugu yako= rafiki yako intimate friend
 
Mahusiano ya kifamilia hututakiwi kutumia neno la jumla kumuelezea mtu fulani,.maneno ya jumla huwa hayajitoshelezi..mfano,huyu rafiki yangu,swali:kivipi?ndugu yangu,kivipi?ni lazima utaje jina husika kua huyo ni nani kwako.
Mke na mume=inabaki kua mke ni mke na mume ni mume,hakuna mbadala hapo:hivi mtu ukimueleza kua huyu ni mke/mume wangu:hivi kutakua na swali la kukuuliza tena?
Baba na Mama=hao ni wazazi:mtoto hawezi kumwita baba au mama yake eti ndugu au rafiki yake.na mtu akikutambulisha kua huyu ni baba/mama yangu mzazi,sijui kama utaendelea kumuuliza swali lingine kuhusu uhusiano wao.
Kaka na Dada=hao ndio ndugu...
Shangazi,Mjomba,Bibi,Babu,watabaki kama walivyo:Ila katika hali ya kujifurahisha,kurahisisha na kukiuka taratibu za namna ya kuwaita hao watu ndo twajikuta tunaita tu ndugu au rafiki.
 
acheni kusema mke ni pepo mchafu jmn, sasa km ni pepo mchafu kwa nini mnaoa? acheni unafki jmn.....ww km mke wk hakutendei mema bs ni yy co ujumlishe wote eti ni pepo mchafu.
 
Sio ndugu maana angekuwa ndugu usingemuoa.

Kuhusu urafiki sina hakika
 
mke sio ndugu, bt pia ni zaid ya rafiki.

Mke sio ndugu;
Ni zaidi ya rafiki na ni zaidi ya adui;
Atafanya mengi mema iwapo atakuwa Mke mwema;
Atageuka kuwa kisu cha kutoboa moyo wako iwapo atakuwa Mke Mbaya.

Mke mwema ni nani? Hapo ndo pa kujadili .... tuendelee wana MMU
 
INAONEKANA HISIA NA MAWAZO YANATAWALA HAPA!
Wengne wameelzea vlivo, lkn tujitahid kusoma ata maandiko maakatifu MAJIBU OPEN kabisa lasivo mtu ana-develop contradiction unnecessarily!

Mke na mme ni mwili mmoja=ndugu,

Fikiri baba yko ama mama yko unawaonaje ni marafiki ama ndugu?

Ww yupi ndugu yko kati ya hao na yupi co?kwann?

Mtakuwa wengne mnapatapata kauelewa!

My tek: atakuwa co ndgu b4 hamjaungana kuwa mwili mmoja, bt after nyiny mnakuwa everlastng wamoja!
 
!
!
mke si ndugu wala si rafiki....ndugu ni wale wote uliochangia nao ama baba au mama....jamaa ni watu wote ambao wana mahusiano ya kidamu na ama baba yako au mama yako i.e. bila baba au mama hamuunganishwi na lolote...jamaa kwa kuongeza ni wale wote ambao upo karibu nao ila hawaingii kwenye kundi lolote la hapo juu. Kwa hiyo mke kwa wakristo hawezi kuwa ndugu wala jamaa...kwa waislamu nimewahi kusikia hata ndugu unaweza kuoa japo sijahakiki kwa pure African though nimeshaona watanzania warabu wakioana ba mkubwa ba mdogo
 
ungepitia makala yangu ya tarehe may 2013 ungepata vyema best

juu dhana ya mke/mume mwema ni nani awezaye mwona?

Mke sio ndugu;
Ni zaidi ya rafiki na ni zaidi ya adui;
Atafanya mengi mema iwapo atakuwa Mke mwema;
Atageuka kuwa kisu cha kutoboa moyo wako iwapo atakuwa Mke Mbaya.

Mke mwema ni nani? Hapo ndo pa kujadili .... tuendelee wana MMU
 
Hii thread ya siku nyingi ila ipo so good.
Mke ni rafiki.ukisema sijui wakushibana,sijui zaidi ya rafiki ila yote ni running around the bush.MKE NI RAFIKI TUU.
 
mke si ndugu, ni rafiki, ni adui, ni ndugu ni jamaa. mke mwema ni sehemu ya mwili wako, akiumia utamia, akihuzunika utahuzunika, akiumwa utapata mashaka. Swali lilitakiwa liwe mke mwema ni ndugu au rafiki? ukisema mke tu kesho ukafumania, ukasonya, asijali familia, kutwa kucha bar na mziki, akirudi nyumbani hana muda ni insta, fb, jf, twiter etc hana muda. Limekuwa swali kwa kuwa watu wana wake tu, wenye wake wema wala hamna discusion ni kama kuhoji kidole chako ni sehemu ya mwili wako. Enyi wanawake tamanini kuwa wake wema ili mpate raha ya dunia na muurithi ufalme wa mbingu. Haki na wajibu
 
Back
Top Bottom