LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 253
shemale then!hizi ni dalili za mdada msagaji
shemale then!hizi ni dalili za mdada msagaji
je suis malade pour ça.hiyo ni sawa na kuuliza kuwa mlango ni ukuta au dirisha?
Mpendwa, mke ni mke, mume ni mume, ndugu ni ndugu na rafiki ni rafiki! Mpendwa, mke na mume ni "ndugu/rafiki makers" kupitia uzao wao na kamwe hawawezi kuwa ndugu au rafiki. Kuwaita ndugu au tafiki ni sawa na kuwa-degrade
glory to god

hiyo ni sawa na kuuliza kuwa mlango ni ukuta au dirisha?

mpendwa, mke ni mke, mume ni mume, ndugu ni ndugu na rafiki ni rafiki! mpendwa, mke na mume ni "ndugu/rafiki makers" kupitia uzao wao na kamwe hawawezi kuwa ndugu au rafiki. kuwaita ndugu au tafiki ni sawa na kuwa-degrade

glory to God

Kama mnahisi mke ni adui,shetani,mchawi am not concuring with you. Mke inategemea unamchukuliaje ili hayo mambo ma3 hapo juu yasitokee. Nafikiri mke ni zaidi ya ndugu na rafiki. Pendeni wake zenu wandugu na mtaona matokeo yake,msimfuate Bujibuji,huyu jamaa hajaoa na kama kaoa anaweza kuwa kaokota kwenye mduara. Heshimuni wake zenu.

BUJIBUJI HUNA LOLOTE,KAMA UMEMRITHI SHEIKH YAHAYA POA. HUNA MKE WEWE ACHA KUDANGANYA WALIONDANI YA NDOA.

weee hebu acha kabisa kumsema Bujibuji maana yeye ndiye mtu pekee awezaye kuyasoma mawazo yako na fikra zako.
Majibu yako ni kama yametoka mbinguni, binti una hekima ya hali ya juu sana, natamani sana kumfahamu mwenzi wa moyo wako

nauliza hili swali ili nipate kuelewa.
mke ni chombo cha starehe wala si rafiki yako au ngugu yako kwa sababu anauwezo wa kukuuza wakati wowote
mke ni chombo cha starehe wala si rafiki yako au ngugu yako kwa sababu anauwezo wa kukuuza wakati wowote