Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

mke ni chombo cha starehe wala si rafiki yako au ngugu yako kwa sababu anauwezo wa kukuuza wakati wowote
 
Babangu alituambia mme ni president, mke prime minister na familia ni government. Kwa hiyo msingi wa ndoa ni nidhamu ili serikali iweze ku function. Naona kama ana ka mfumo dume fulani! He always keeps on telling us that.
 
Mke rafiki,ukimchukulia kama ndugu utaleta mazoea na upendo utapungua.unatakiwa umchukulie kama grlfriend tena kama vile ndo mnaanza mapenzi,yaani full maluvy davy
 
Mke ni rafiki wa karibu wa kufa na kuzikana na sio ndugu. Ni rahisi kuachana na rafiki yako(mkeo/mumeo) wa karibu kuliko kuachana na ndugu yako.
 
Ni zaidi ya ndugu au rafiki, ni nusu yako, nusu ya mwili wako , nusu ya moyo wako na ni nusu ya roho yako.
 
Ni zaidi ya ndugu au rafiki, ni nusu yako, nusu ya mwili wako , nusu ya moyo wako na ni nusu ya roho yako.
Watu waliotawalia na ugonjwa wa mapenzi utawagunduwa tu kwa post zao. undugu kwa mwanamke unatoka wapi? haya ni mawazo ya kizembe kabisa, na nyinyi ndio mnaandikishaga majina ya wanawake zenu kwenye property zenu halafu baadae mnatoswa mnaanza kulialia kama majuha. mwanamke sio ndugu yako na haitakaa itokee mwanamke awe ndugu yako. mwanamke ni msaidizi wako na kiburudisho chako tu not otherwise.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom