Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

Ni rafiki wa kike tu ambaye hana hata DNA yako, uliyeamua kumbinafsisha moja kwa moja ili akuzalie watoto na shughuli 'zingine'. Watoto ndio wenye DNA kama zako!

Jishaue hapa.
Wakati ulikuwa unaniambiaga mie ni damu yako.
 
Mke ni mke bhana!!
Mke ni zaidi ya ndugu au rafiki,ni sehemu ya mwili wako!
 

mke ni sehemu ya mwili wako
ni zaidi ya ndugu au rafiki!!ni ubavu wako atiii!!
 
Dogo kajifunze kwanza kiswahili......"waliyooowa" ndio wanaume gani hao? @&?>:
 
Dogo kajifunze kwanza kiswahili......"waliyooowa" ndio wanaume gani hao?
sawa mkuu ila nawe kajifunze adabu how can u be sure me ni DOGO? we hukosei?
 
Mke ni.....
Loading....
Error in writting.
 
Sitaki kuwa na mwanamme anayeamini upuuzi kama Arushaone kama sio ndugu au mwili mmja uliza sheria zaidi inamtambuaje mke!
Mke=mume mke/mume amebeba uhai wako kwa asilimia kubwa achia Mungu,
wengi wanaosema maneno machafu ni wale wasio na ndoa nzuri wala relationship zinazoeleweka
 
Last edited by a moderator:
Mke ni mke bhana!!
Mke ni zaidi ya ndugu au rafiki,ni sehemu ya mwili wako!

Unafundisha watu ujinga cyo! mke ni mpita njia tu mda wowote lolote laweza kutokea na maisha yakaendelea hutakuja kuumwa kichwa hata cku moja kama unaamini hilo.
 
si ndugu,ni mke kwani hicho ni cheo kama ilivyo kwa ndugu na rafiki,yeye huweza kuleta watoto ambao watakuwa ndugu wa karibu zaidi yani damu yako
 
Back
Top Bottom