Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

Pamoja tunaweza

New Member
Jun 25, 2021
3
2
  • Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao.

  • Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote
Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango katika hilo.
 
Naiusia nafsi yangu pamoja na kuwausia ndugu zangu katika kujitahidi juu ya hili. Duniani tunapita na makazi yetu ni akhera hivyo tujitahidi katika njia ambazo zitatufikisha.

Hakika utukufu ni kutafuta radhi za Allaah kwa kujikurubisha katika ibada zake hasa hizi ambazo si wengi wanazifanya. Kwani m bora wa watu ni Yule mwenye kumcha Mwenyezimungu na si vinginevyo.

MWENYEZIMUNGU ndiye mjuzi zaidi
 
Back
Top Bottom