Mke na Mama hawaamini maelezo ya Polisi kuhusu kifo cha mpendwa wao. Kwanini imani kwa Polisi imepungua?

Polisi wanasemaje? Kifupi asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu. Nionesheni mama hata mmoja aliyewahi kusema tabia mbaya za mwanae.

Pia, mama husubiri pesa iletwe nyumbani, hawezi kuhoji jinsi ilivyopatikana, anapokea na kumuona mwanae anajua kutafta.
MANENO kuntu!
Ehhh Mola wangu tuepushe walahi!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwaamini au usiwaamini, kuwasikiliza ni muhimu. Kama pesa inaingia, hakuna mama anayeweza kuhoji mwanae snako zipata.

Yaani mtu anafanya kazi kiwanda cha mabati, aweze kutunza mke, watoto wanne na mama yake?

Kwa maisha ya dar aweze na kumiliki pikipiki? Bora angekuwa muuza matunda, maana wao kulaza faida ya 20,000/- ni kawaida ambapo anaweza acha 10,000/- kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ntamaholo utakufa maskini. Kwa mawazo haya sijui unaishi dunia gani, waha mna matatizo gani??

Pole kwa kutaja kabila lako hapa.

Yaani mtu afajye kazi halafu unauliza hawezi kutunza mama, mke na watoto wake?? Hujui kama.watu wanaishi kwa.kuunga unga na kujiongeza na wala haimanishi kuwa wanaiba. Akili kama hizi anazo magufuli. Akili kama hizi hutokana na kuishi.ktk.umaskini uliokithiri kwa muda mrefu.( chronic hunger)
 
Sawa mwana mahesabu, ni muha ndiyo wala hujakosea. Hiyo ni hypothesis tu katika kuwaza. Naombeni maelezo au taarifa ya polisi. Tuipate hiyo, halafu tusikilize tena maelezo ya mama. Hapo ndo tuanze kujadili.

Bila hivyo tutawasema polisi vibaya sana bila kuwa na hoja ya msingi.

Lkn pia, watanzania wengi tunayaweza maisha kwa kuiba, vipato vyetu vya halali havituwezeshi kuishi vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwaamini au usiwaamini, kuwasikiliza ni muhimu. Kama pesa inaingia, hakuna mama anayeweza kuhoji mwanae snako zipata.

Yaani mtu anafanya kazi kiwanda cha mabati, aweze kutunza mke, watoto wanne na mama yake?

Kwa maisha ya dar aweze na kumiliki pikipiki? Bora angekuwa muuza matunda, maana wao kulaza faida ya 20,000/- ni kawaida ambapo anaweza acha 10,000/- kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Umecomment kwa kuwa unachombo cha kielecronic mkononi mwako lakini sikama mtu mzima uliekamilika kimawazo. Aidha una maslahi na jeshi la polisi au pengine hayajakufika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mwana mahesabu, ni muha ndiyo wala hujakosea. Hiyo ni hypothesis tu katika kuwaza. Naombeni maelezo au taarifa ya polisi. Tuipate hiyo, halafu tusikilize tena maelezo ya mama. Hapo ndo tuanze kujadili.

Bila hivyo tutawasema polisi vibaya sana bila kuwa na hoja ya msingi.

Lkn pia, watanzania wengi tunayaweza maisha kwa kuiba, vipato vyetu vya halali havituwezeshi kuishi vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wewe bado unazidi kunishangaza sana. Yan inaonesha wazi wewe jizi unapofanyia kazi. Kwa hiyo watanzania wote ambao vipato vyao havikidhi mahitaji ni wezi.? Teh..

Mkuu umri wako kwanza naomba niujue. sidhani kama comment yako ndio mwisho wako wa kufikiri hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umecomment kwa kuwa unachombo cha kielecronic mkononi mwako lakini sikama mtu mzima uliekamilika kimawazo. Aidha una maslahi na jeshi la polisi au pengine hayajakufika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una waza kivyako, na mimi nawaza pia. Hayo ni mawazo yangu, lkn naombeni maelezo ya polisi ili niyatafakari pia.

Ni sawa tu na ile hbr ya mwandishi, inaonesha baada ya kudhibitiwa, lkn haioneshi kabla hajadhibitiwa nn kilitokea. Na hakuna mwandishi anayeweza kutuonesha, labda cctv camera kama zipo.

Ntaanza kuwatuhumu polisi nikiipata taarifa yao na kutafakari

Unataka maelezo gani ya polisi na wakati mama amesema polisi wamemwambia mwanae alikua jambazi na amefia mikononi mwa polisi.

Halafu kuhusu yule mwandishi na wale polisi uchwara ni ishu ilikua kuendelea kumpiga na wakati ameshatii amri. Kwa hiyo we unasema polisi wameonewa pale.?

Nyie polisi hamkuzaliwa na mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kwa mfano, Polisi wanadai Mbise[ mwandishi] alibishana na alivua shati lake mwenyewe na kupigana na Polisi.

..mimi maelezo hayo siyaamini.

..zaidi, najiuliza kama Polisi wanashindwa kusema ukweli ktk tukio la wazi kabisa kama lile la kupigwa mwandishi wa habari, je wataweza kusema ukweli ktk matukio kama haya ya mauaji?

Cc ntamaholo
. Matumizi ya polisi katika siasa yamemomonyoa weledi katika kazi zao na kubaki kuwa kikundi cha wachumia tumbo adui wa wananchi..ambacho wanaotumia hawakijui na wao wananchi watachukua hatua ninsuala la muda tu.inasikitisha sana
 
Nilichokisoma kwenye Mwananchi,huyu Bwana (Marehemu) na wenzake mara kwa mara hukutana Baa moja iliyopo Maeneo ya Buza Ili wagawane hela... Polisi mara kwa mara hufanya Patrol zao hapo... Siku ya tukio Waliwaweka chini ya Ulinzi Marehemu ambaye kwenye Bag lake alikuwa na 9M Tshs.alianza kukimbia Ndio katika hatua za kutaka kumdhibiti akapigwa Risasi. Inaonyesha Marehemu alikuwa anafanya Biashara haramu
Kosa la Polisi ni kumuua na wanaficha Ili ionekane kuwa alichomwa na kitu chenye ncha Kali.wachukue hiyo hela aliyokuwa nayo Marehemu.
 
Hapo ndo kwenye utata. Mfanyakazi wa kiwanda cha mabati, anakutana baa kugawana mamilioni ya pesa, anaona polisi anaanza kukimbia. Why? Kuna kitu kisicho cha kawaida hapo.

Tusome when to use force?
1. Ni pale mtu anapotoroka chini ya ulinzi wa polisi, hapo nguvu itatumika.
2. Unapokataa ukamataji
3. Unapozuia ukamataji
4. Unapohatarisha usalama wa watu wengine.

Sasa huyo kijana alifanya nini kwenye sakata hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kwa mfano, Polisi wanadai Mbise[ mwandishi] alibishana na alivua shati lake mwenyewe na kupigana na Polisi.

..mimi maelezo hayo siyaamini.

..zaidi, najiuliza kama Polisi wanashindwa kusema ukweli ktk tukio la wazi kabisa kama lile la kupigwa mwandishi wa habari, je wataweza kusema ukweli ktk matukio kama haya ya mauaji?

Cc ntamaholo
La mbise wanahabari ndo waongo. Na ni shida ya waandishi wetu. Hawachambui tatizo, wanatoa taarifa ya tatizo lilivyo.

Pamoja na kuwa na camera nyingi, kwa nini hatuoni sakata limeanzanje? Kwa nini tunaoneshwa mtu amedhibitiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtaani tulikuwa na muhalifu sugu aliwahi niambia kamwe usikubali kukamatwa na polisi. kama mazingira yana ruhusu hakikishwa hukamatwi.
 
Sasa mnapokutana na wao wamedhamiria kukukamata ndo utaimba hallelujah.

Mimi naamini hakuna jambo lisilo na mwisho, nikifika polisi linaisha tu, siogopi polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichokisoma kwenye Mwananchi,huyu Bwana (Marehemu) na wenzake mara kwa mara hukutana Baa moja iliyopo Maeneo ya Buza Ili wagawane hela... Polisi mara kwa mara hufanya Patrol zao hapo... Siku ya tukio Waliwaweka chini ya Ulinzi Marehemu ambaye kwenye Bag lake alikuwa na 9M Tshs.alianza kukimbia Ndio katika hatua za kutaka kumdhibiti akapigwa Risasi. Inaonyesha Marehemu alikuwa anafanya Biashara haramu
Kosa la Polisi ni kumuua na wanaficha Ili ionekane kuwa alichomwa na kitu chenye ncha Kali.wachukue hiyo hela aliyokuwa nayo Marehemu.
Ukisoma UN articles, zinafafanua ni lini nguvu itumike. Madhara ya kutumia nguvu yaweza leta kifo, majeraha mskubwa, ukilema n.k.

Marehemu kuchagua kukimbia mbele ya watu wenye silaha, alifanya kosa. Hapo mwana usalama atajiuliza maswali mengi, na mwisho wa siku ataitumia bunduki yake.

Hii ni sehemu ya hukumu japo kesi husika haikutajwa.

"With that case, the court reiterated that deadly force can only be used during an arrest if: Necessary to prevent the escape; and. The officer has probable cause to believe that the suspect poses a significant threat of death or serious physical injury to the officer or others."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom