Mke na Mama hawaamini maelezo ya Polisi kuhusu kifo cha mpendwa wao. Kwanini imani kwa Polisi imepungua?

La mbise wanahabari ndo waongo. Na ni shida ya waandishi wetu. Hawachambui tatizo, wanatoa taarifa ya tatizo lilivyo.

Pamoja na kuwa na camera nyingi, kwa nini hatuoni sakata limeanzanje? Kwa nini tunaoneshwa mtu amedhibitiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

..haingii akilini.

..mwandishi wa habari aliyeko kazini avue shati lake na kuanza kupigana na Polisi.
 
Tena habari zinazoripotiwa za Polisi ni chache kuliko hali halisi ya mtaani.
Kuna umuhimu wa kulibadili jeshi hili kutoka Police force kuwa police services

Sent using Jamii Forums mobile app
Itasaidia nini?Kenya ni service lakini ipo kwenye top ten ya polisi wanaofanya vibaya Duniani lakini ukiangalia Uingereza na mataifa mengi makubwa ni force lakini bado wako vizuri sana. Ujinga ni kufikiri kubadili jina kutaleta ufanisi badala ya kuwekeza zaidi kwenye usalama.
 
Polisi wanasemaje? Kifupi asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu. Nionesheni mama hata mmoja aliyewahi kusema tabia mbaya za mwanae.

Pia, mama husubiri pesa iletwe nyumbani, hawezi kuhoji jinsi ilivyopatikana, anapokea na kumuona mwanae anajua kutafta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wa kwako.
 
Tena habari zinazoripotiwa za Polisi ni chache kuliko hali halisi ya mtaani.
Kuna umuhimu wa kulibadili jeshi hili kutoka Police force kuwa police services

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata waite 'police service' mkong'oto utabaki ule ule,Polisi wanacho jua wao ni kugawa dozi ya kipigo tu hakuna cha zaidi,world wide hao jamaa ndio wapo hivyo.

Case study: embu jaribu kufuatilia polisi kenya&Ghana hizi nchi polisi zao zinaitwa Department/service ila huwezi amini taabu wanayo wapa raia.



imesomeka!!
 
..ndugu wa marehemu anatoa maelezo zaidi.

..Polisi walikuwa hawataki kuripoti kwamba marehemu ameuawa kwa risasi.

..
 
ntamaholo popote ulipo kunywa vinywaji bill talipia mimi,umefafanua mengi sana ya kisheria tena kuhusu Policeman anavyo takiwa kufanya kazi.




imesomeka!!
 
Back
Top Bottom