Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena habari zinazoripotiwa za Polisi ni chache kuliko hali halisi ya mtaani.
Kuna umuhimu wa kulibadili jeshi hili kutoka Police force kuwa police services
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wanasemaje? Kifupi asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu. Nionesheni mama hata mmoja aliyewahi kusema tabia mbaya za mwanae.Tena habari zinazoripotiwa za Polisi ni chache kuliko hali halisi ya mtaani.
Kuna umuhimu wa kulibadili jeshi hili kutoka Police force kuwa police services
Sent using Jamii Forums mobile app
Watasusa, lkn mwishowe watazika. Watakaa na maiti yao hadi lini?..ukimsikiliza huyu mama ambaye amempoteza mwanae unaweza kulia kwa uchungu.
..familia haikubaliani na maelezo waliyopewa kuhusu kifo cha mpendwa wao.
..katika mazingira kama hayo nini kinatakiwa kifanyike?
Asiye funzwa na mamaye ndio hufunzwa na Polisi kwa kuuwawa?Polisi wanasemaje? Kifupi asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu. Nionesheni mama hata mmoja aliyewahi kusema tabia mbaya za mwanae.
Pia, mama husubiri pesa iletwe nyumbani, hawezi kuhoji jinsi ilivyopatikana, anapokea na kumuona mwanae anajua kutafta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hufunzwa na ulimwengu. Polisi ni sehemu ya ulimwengu.
Watasusa, lkn mwishowe watazika. Watakaa na maiti yao hadi lini?
Halafu Polisi wanasemaje? Kifupi asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu. Nionesheni mama hata mmoja aliyewahi kusema tabia mbaya za mwanae.
Pia, mama husubiri pesa iletwe nyumbani, hawezi kuhoji jinsi ilivyopatikana, anapokea na kumuona mwanae anajua kutafta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwaamini au usiwaamini, kuwasikiliza ni muhimu. Kama pesa inaingia, hakuna mama anayeweza kuhoji mwanae snako zipata...ni vizuri kusikiliza upande wa Polisi.
..lakini, Je, Polisi wanaaminika?
Tukibadili CCM na jiwe, vingine vitajibadili automatic.Tena habari zinazoripotiwa za Polisi ni chache kuliko hali halisi ya mtaani.
Kuna umuhimu wa kulibadili jeshi hili kutoka Police force kuwa police services
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwaamini au usiwaamini, kuwasikiliza ni muhimu. Kama pesa inaingia, hakuna mama anayeweza kuhoji mwanae snako zipata.
Yaani mtu anafanya kazi kiwanda cha mabati, aweze kutunza mke, watoto wanne na mama yake?
Kwa maisha ya dar aweze na kumiliki pikipiki? Bora angekuwa muuza matunda, maana wao kulaza faida ya 20,000/- ni kawaida ambapo anaweza acha 10,000/- kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa mtu mzima usichangie hoja Kissa unabando changia hoja kwa kuleta maana halisiPolisi wanasemaje? Kifupi asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu. Nionesheni mama hata mmoja aliyewahi kusema tabia mbaya za mwanae.
Pia, mama husubiri pesa iletwe nyumbani, hawezi kuhoji jinsi ilivyopatikana, anapokea na kumuona mwanae anajua kutafta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo mgandoUwaamini au usiwaamini, kuwasikiliza ni muhimu. Kama pesa inaingia, hakuna mama anayeweza kuhoji mwanae snako zipata.
Yaani mtu anafanya kazi kiwanda cha mabati, aweze kutunza mke, watoto wanne na mama yake?
Kwa maisha ya dar aweze na kumiliki pikipiki? Bora angekuwa muuza matunda, maana wao kulaza faida ya 20,000/- ni kawaida ambapo anaweza acha 10,000/- kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi bila polisi ni salama kabisa. Angalia tu walivyomgeuzia kibao mwandishi wa habari Wapo Mbise.
PolisCcm you are fakin annoying
Huyu jamaa hayajamkuta au na yeye anamaslahi na jeshi la polisi. Sheria ipi inasema hata kama kakamatwa mwizi auawe?..kwa mfano, Polisi wanadai Mbise[ mwandishi] alibishana na alivua shati lake mwenyewe na kupigana na Polisi.
..mimi maelezo hayo siyaamini.
..zaidi, najiuliza kama Polisi wanashindwa kusema ukweli ktk tukio la wazi kabisa kama lile la kupigwa mwandishi wa habari, je wataweza kusema ukweli ktk matukio kama haya ya mauaji?
Cc ntamaholo
what do you expect mkuu, hata kabla hawajatoa taarifa yao unaweza ukajua watasema nn, kina akwilina yalitokea mchana kweupe ulipowasikiliza walitoa taarifa gani na mwsho wa siku nn kilifanyika? hawa watu ni ngumu sana kukiri km wamekoseaHufunzwa na ulimwengu. Polisi ni sehemu ya ulimwengu.
Naomba maelezo ya polisi ndo tujadili vizuri. Hizi habari za upande mmoja ni fallacy, appeal to pity
Sent using Jamii Forums mobile app
atakua polisi tu huyuHuyu jamaa hayajamkuta au na yeye anamaslahi na jeshi la polisi. Sheria ipi inasema hata kama kakamatwa mwizi auawe?