KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
wahaya mnatuchafulia lugha yetu bwana!
kwenye 'a' mnaweka 'ha' na kwenye 'ha' mnaweka 'a'!
lol.. nimeishi bukoba kwa miaka miwili nikiwa High school, nimeishi vizuri sana na akina KOKUTONA! they are beautiful, charming, caring, hawana maringo kwa wageni...!
Ukitongoza huzungushwi, kila weekend tuko beach tu!
maisha yenyewe mepeeeesi, umeme haukatiki wala nini!
dah! thank you bukoba! life is very simple there..!
pondeni huku mkisifia na vingine..!
Ahsante rafiki kwa kueleza true face of us. Ila hiyo ya kutongozwa usizungushweee mmmh, nadhani ni tabia ya mtu binafsi, not tribe.
By the way, nimekumiss sana