Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,510
Haaaa (meachama, mkono mdomoni)
Babu hufai, hiyo michezo kwa umri wako nakushauri uache. Usijefia kwenye viuno vya watu.
Hahahahahaha sasa kama wanataka wenyewe mi nifanyeje? Afu tangu lini ng'ombe akazeeka maini???