DJ Kassu
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 382
- 282
Stoopead poast
Huyu naye kabila gani?
Stoopead poast
MASIORA;
Acheni kukufuru nyie. Hao wanawake wa Kihaya wamewakosea nini?? Jamani, hakuna wanawake wenye moyo mzuri kama hao. Nimetembea na makabila mengi sana lakini Muhaya. Aboo baleke tata. Ni wazuri, wapole na hawana matata.
Kuchepuka ni kwa kila mtu. Awe mke awe mume. Tulizana tu usijekuta huyo unayemsifia ni mjanja kuliko weye. Amesha ku monitor, anajua kila hatua zako hivyo unamkuta katulia home kumbe weye ni wa pili siku hiyo.
Mwanamke akikosa hishima ni mnyama tu. Tafuta mcha Mungu, utapona:hail::hail:
Naona anadhalilisha jamii nzima si sawa
Samaki mmoja akioza.......
Japo mie sio muhaya ila imeniuma sana yaani watani zangu wanavuliwa nguo hadharani!!!! Tabia ya mtu sio lazima iendane na kabila lake.
wahaya mnatuchafulia lugha yetu bwana!
kwenye 'a' mnaweka 'ha' na kwenye 'ha' mnaweka 'a'!
lol.. nimeishi bukoba kwa miaka miwili nikiwa High school, nimeishi vizuri sana na akina KOKUTONA! they are beautiful, charming, caring, hawana maringo kwa wageni...!
Ukitongoza huzungushwi, kila weekend tuko beach tu!
maisha yenyewe mepeeeesi, umeme haukatiki wala nini!
dah! thank you bukoba! life is very simple there..!
pondeni huku mkisifia na vingine..!
Asante mkuu nadhani unapenda maua pia..
na maneno yako pia!
Karibu mkuu
hodiiiiiiiiiii
mnyonge anyongwe na haki yake apewe,lol
,eeh! mwambie kunaSi wote ni baadhi tu, wapo wengi sana tu wenye hofu ya Mungu waliompokea Yesu kama Bwana na Mokozi wa maisha yao. Kama amekutenda huyo wa kwako usidhani ni wote wako hivyo. Je na wewe ni msafi na una hofu ya Mungu?
Jombaa mbona unatukatisha tamaa sie tuliowekeza pande hizo..!!?
Jombaa mbona unatukatisha tamaa sie tuliowekeza pande hizo..!!?
Mama wa watoto wangu ni Mhaya na nasikitika sana kwa members wenye calibre ya Molembe kuleta mada zenye misingi ya kikabila
Mnawadhalili hawa wadada wanaotoka kabila hili bila sababu zozote zilizothibitishwa kitaalam!Umalaya hauna kabila;eneo wala jinsia!
Molembe tutajie basi kabila gani hapa TZ sio malaya ambapo WOTE wana maadili?
Poor post ever seen before damn you!!
Karibu karibu sana