Mke mpya wa Mfalme Mswati

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Ingekuwa ni nchi yangu ningeomba kazi ya ulinzi hapo kwa mfalme hata kwa ujira ili niwafaidi hao warembo maana wanaonekans ni watamu mnooo
 
Watamu kwani unawala?
 
Nayapenda sana maisha ya mfalme mswati anakula gudi time kulikoobama obama
 
Mswati achukue mdada kama huyo...Swazi kuna vyombo sana huyo hata ndani ya 20 wanaochaguliwa mwanzo haingii...ingawaje hii habari sio ya kweli wao sherehe yao ni mwezi August kila mwaka..Swazi wanawake wazuri ni wengi kuriko wanaume...
 
huyu mfalme nae kazidi kuharibu taifa - haonekani anachofanya kujenga taifa lake ila kuoa wasichana wadogo tu
 
Mswati achukue mdada kama huyo...Swazi kuna vyombo sana huyo hata ndani ya 20 wanaochaguliwa mwanzo haingii...ingawaje hii habari sio ya kweli wao sherehe yao ni mwezi August kila mwaka..Swazi wanawake wazuri ni wengi kuriko wanaume...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…