Mke/Mpenzi asiyejamba.....

Mke/Mpenzi asiyejamba.....

Mmmh, nasikia maeneo ya Mombasa au Penda, mtu akij amba awe mwanaume au mwanamke, kuna ujumbe anakua anautuma.....ngoja waliowahikuishi huko waje watakufafanulia!!! Ni kama code flani hivi ....
 
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari

Mtu ni afya,huwezi kujamba mbele ya mtu/watu,unashauriwa ukiskia kijambo, nyanyuka kajambie mbali kuepusha kero kwa aliekaribu na ww,sababu pale hutoi harufu ya vannila ujue,tena kwa mpenzi ndio kabisa mi sijawai!
 
ajaahahahhahhahahha ila ni ukweli kupita maelezo!
kujamba kitu gani bana mpka mtu ajizuie ! Boflo oooooooooooooooooooooooooooooooooooooo najuuta kukwambia urudi humu lol!
 
Last edited by a moderator:

basi hujawa passionate enough bana!
 
ajaahahahhahhahahha ila ni ukweli kupita maelezo!
kujamba kitu gani bana mpka mtu ajizuie ! Boflo oooooooooooooooooooooooooooooooooooooo najuuta kukwambia urudi humu lol!

Hahaha. Umeona eeee
Kila siku rudi rudi rudi
Jiandae sasa
 
Last edited by a moderator:
Basi kwa sababu mke wako anajamba jamba sana unataka kutugilibu tukusaidie kuhalalisha huo ujinga. mambo ya kuchafuliana hewa, wapi na wapi?

Ivi kwani kujamba ni issue kubwa sana au! Yani kujamba ni tendo la kawaida kwa binaadam ingawa kwetu sie waafrika mtu akijamba kwenye kadamnasi tunaona ni ukosefu wa adabu ila kujamba ni kawaida sana ni inawezekana kabisa ukawa na mpenzi wako hata kwa miaka 5 usimsikie akijamba na sio kwamba anaficha ila ni coincidence tu! Pale ushuzi unapombana we mpenzi wake unakuwa haupo sasa aubane ushuzi hadi wewe uje uusikie?Mi kiukweli sijawahi kujamba mbele ya mpenzi wangu na sio kwamba naogopa ila haijawahi kutokea ushuzi unibane na yeyey yupo
 
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari

Kwani ushuzi nao ni siri?
 
Hii mbona iko poa tu...kujambiana kwa wapendanao it's just okay..
If they can perform the other nasty things together , then, what's the hell with farting?
I don't see whether its a big deal..........
 
Hii mbona iko poa tu...kujambiana kwa wapendanao it's just okay..
If they can perform the other nasty things together , then, what's the hell with farting?
I don't see whether its a big deal..........

Yani ni kitu cha kawaida sana , tena hao ambao wanasema hawajawahi kujamba mbele ya wapenzi wao mimi naona hawajawauliza vizuri wenzi wao , maana hata wakati wanafanya mapenzi wanajambiana sanaaaa , hasa wanaume akikaribia tu na ushuzi uko njiani.
 
Kwa mazingira niliyolelewa, kujamba mbele ya mtu/watu ni dalili ya kukosa ustaarabu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umenichekesha sana humo nilimobold...
Nashangaa watu wanaleta za ustaarabu kwenye mambo yetu yalee..

Yani ni kitu cha kawaida sana , tena hao ambao wanasema hawajawahi kujamba mbele ya wapenzi wao mimi naona hawajawauliza vizuri wenzi wao , maana hata wakati wanafanya mapenzi wanajambiana sanaaaa , hasa wanaume akikaribia tu na ushuzi uko njiani.
 
Boflo huishi vitukolol!
 
Last edited by a moderator:
Ha haha mtu anajibana mpaka tumbo linaunguruma....toa shuzi hilo upate space up....unasonga mbele..
 
Ngoja ninunue trei ya mayai kwanza kisha nifanye utafiti. Kama atajiachia mbele yangu nampiga out.
 
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari

wewe ndio mwalimu wa field unayefundisha pale st. makafyondo? maana jana nimepata kali kwa kweli na nimeanzisha thread kuuliza kuhusu hili hili la kujamba, nashangaa nimekuona na wewe umeandika thread hii leo aiseeee usiniambie, j3 ntakuja na mtoto shuleni nikuone nijue hasa ulitaka kuwafundisha nini watoto... boflo...............!!
 
Jana kuna ofisi mate wangu hapa ofisini near to me, shori mzuri sana. Alijibana kikachomoka da nikajifanya sijasikia. Kanipiga jicho nikampotezea. Sasa nimegundua mybe ananitaka kwa hiyo anaonyesha mapenzi.
Ngoja na mimi leo nijikusanye ili nijibu mapigo, nitauwachia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom