Mke/Mpenzi asiyejamba.....

Mke/Mpenzi asiyejamba.....

kujamba mbele ya mpenz huleta tabasamu kwa wapendanao..
 
Yaweza kuwa kweli kwa macho mengine tunsema kuwa asikuwa mhaminifu kwa dogo hata kubwa hawezi kamwe.
 
Kujamba muhimu. Mi na mwenzangu huwaga tupo free kunjamba (hasa tukiwa pekeetu chumban). Nakumbuka mara nyingi waifu akijamba bhuuu, namtania mbona unajamba unatoa bhuuu bezi kama mwanaume, jaribu kutoa pwiiiii yenye mlengo wa ki female then we end up kucheka.
 
mi naona inategemea sometime umekula nini,vitu kama maharage,mayai na vinginevyo inajulikana kabisa ukila lazima vilete gas na mtu akate uzi kidogo.sasa kama mwenzio maharage hajala wala mayai au chakula chenye gas,yee kila wakati twiiiiiiiiiiiiiiii twiiiiiiii lazima nishtuke vp kuna tatizo gani
 
na ukiona anajambajamba ovyo ujue analiwa tigo so na hili nalo tulitafakari mkuu.
 
ha aaaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka sana aisee lakini mkuu umefikiria mbali sana na huu usemi kwa wazee wa saikolojia huu msemo unaweza kuwa kweli kabisa kuna ukweli ndani yake wengi wanapinga kwa sababu umeweka neno ambalo ni kama la kuwadhalilisha wanawake ila ni ukweli mtupu, watu wafikirie kabla hawajaanza kukuzomea na kukutolea kejeli, wasiwe kama magamba kuambia neno la kutongezea wakakimbilia ngono bila kufikiria neno kutongoza maana yake nini
 
Kujamba muhimu. Mi na
mwenzangu huwaga tupo free kunjamba (hasa tukiwa pekeetu chumban).
Nakumbuka mara nyingi waifu akijamba bhuuu, namtania mbona unajamba
unatoa bhuuu bezi kama mwanaume, jaribu kutoa pwiiiii yenye mlengo wa ki
female then we end up kucheka.

hahahahhahahahahahahahhah
 
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari

JF shule tosha..Asante mkuu.

Japo sikujua ukweli huu hapo awali, lakini hili lilishawahi kutokea mara kadhaa miongoni mwetu..mimi na mke wangu na sioni ajabu kwani sisi ni kitu kimoja.
 
Najua wajua lakini nijuze. Binadam kamili anajamba mara 23 kwa siku . sio maneno yangu ni captain G. Habashi wakati akiwa 88.5 je kuna ukweli hapo?
 
Jana kuna ofisi mate wangu hapa ofisini near to me, shori mzuri sana. Alijibana kikachomoka da nikajifanya sijasikia. Kanipiga jicho nikampotezea. Sasa nimegundua mybe ananitaka kwa hiyo anaonyesha mapenzi.
Ngoja na mimi leo nijikusanye ili nijibu mapigo, nitauwachia.
teh,teh
 
na mme anayejamba ana sifa gani?? Nataka kujua ili nianze kujamba ili mradi wife asije akahisi nimekua sio riziki... hahaha
 
Kuna watu wengine wakijamba ..ukiwasha kibiriti..nyumba inaungua na LAZIMA zimamoto ihusike.. Lolesteee!!!🙂
 
Kuna watu wengine wakijamba ..ukiwasha kibiriti..nyumba inaungua na LAZIMA zimamoto ihusike.. Lolesteee!!!🙂
😃😃😃😃😃😃
 
Sasa kama tunakaa muda karibia wote pamoja mie nikasunsudue wapi? Unaongelea mahusiano ya kubip wewe. Kama mpenzio akila kande anakuwa wmd basi si umletee firigisi, eboo? Sasa mnaweza kutumia toilet pamoja?

Nilijua lazima nitakuwa nimemchokoza King'asti hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom