ha ha haHa ha ha haya bwana,nilichokipata hapa nikucheka tu,ila tafiti zako unazinguwa,we unafikir kujamba jamba ovyo kwa mwenza ni heshima,kwanza kama ni mwanaume unajamb jamba ovyo inaashiria unatumika nyuma na wanaume wenzako,
Ww Mc mbona hukuja juzi Kebbys....au mpaka usikie harusi !!
Hii mbona iko poa tu...kujambiana kwa wapendanao it's just okay..
If they can perform the other nasty things together , then, what's the hell with farting?
I don't see whether its a big deal..........
Tunatofautiana kweli humu. Mi ukitaka nikuchukie jamba mbele zangu. Umekuwa kama Wahindi ambao hawana break? Wanajamba kila mahali wakipita na pilipili wanayokula usiombe! Sasa we mtu kala makande yake huko halafu anajamba eti ndo nitajua kwamba ni mkweli? Jamani..unayatoa wapi? Au unatafuta excuse kwa vile unajambajamba ovyo? Pumbaf! weka kufuli hapo!
Aaagggghhhhhrrrr.....:nono:😛uke:
basi hujawa passionate enough bana!
Hii mbona iko poa tu...kujambiana kwa wapendanao it's just okay..
If they can perform the other nasty things together , then, what's the hell with farting?
I don't see whether its a big deal..........
Room mate wangu chuo aliniambiaga 'ukiona huwezi kubreak ze wind mbele yake and laugh about it, he is not the one!'
Nope..... We manage out schedules..... Kuoga is fun but kunya needs privacyHehehe, sasa ina maana utapanga foleni chumbani kwako mwenyewe?
apa
sas wakwe na bosi wangu ni mpenzi wangu!Lol..hii kali
Ila mimi naona hata mapenzi yanahitaji ustaarabu pia..
Na hilo jambo halijakaa kinamna na kudumisha ustaarabu..
Ni sawa na kuwa mlevi sana halafu ukasema asiyenipenda nilivyo hanifai..it doesn't make it right..
Kama ni kitendo cha kujivunia sana unaweza kukifanya mbele ya bosi wako?!au pengine mbele ya wakwe?!..
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari