basi hujawa passionate enough bana!
Roommate wako ana akili sana. Apart from kufanya mapenzi, kujamba ni kitu intimate sana. Kuna watu wachache sana unaweza kujamba mbele zao. Hata mama yangu najiuliza mara mbili mbili. But if you're able to break wind in front of your significant other, it just shows they hold a special place in your heart. :becky:
Aaagggghhhhhrrrr.....:nono:😛uke:Hahaha, ni kweli aisee. Sasa raha ya kuamka asubuhi mkaoge pamoja, mmoja akipupuu mwingine anaswaki! Maisha yenyewe mafupi haya aisee!
Room mate wangu chuo aliniambiaga 'ukiona huwezi kubreak ze wind mbele yake and laugh about it, he is not the one!'
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari

Kuna kujamba,na kujambajamba! Hiyo ya kwanza sio mbaya..hii ya pili vikizidi inahitaji ushauri wa daktari!
Mh! mada za huyu mdau...!
ww siyo mzima dogo au bwabwaUkiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari