- Thread starter
- #121
Sijui alikuwa anamaanisha nn?Kwa hiyo sala yako ilikuwa ya uongo?

😂😂Kibao TenaShida inaanzia hapo wewe kutompiga japovibao kadhaa. Kuna watu mpaka nguvu itumike ndio wanaelewa. Mwanamke kuna muda mwenyewe anamiss kupigwa, usimnyime kibao mke wako
Tatizo uko serious sana punguzaNawasalimu.
Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.
Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.
Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la midhaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka ( kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).
Ni kili ya kuwa katika maisha yetu yote nilishawahi mchapa makofi mara 3 kitu ambacho sitaki kukikumbuka na sitaki kitokee tena, ila nilifanya vile Ili tuu aweze kutambua kuwa sipendezwi na tabia zake.
Tabia hiyo ya kutokuwa na mipaka hasa ya kuzungumza haijawahi kwisha zaidi ya kupungua kwa muda na baadae kuanza tena.
Nimewahi kutumia kanuni ya kumtoa out na kwenda naye sehemu ya faragha na kumuambia kuhusu kutopendezwa na tabia zake huwa anaomba msamaha lakini baada ya muda hurudia tena.
Kiukweri ninampenda sana mke wangu, na mahusiano yetu yalianza tangu tukiwa secondary na baadae kuja kuoana.
Nje ya kumkanya mara kwa mara, niliona ni busara kufikisha jambo hili kwao, Ili waweze kumkanya binti yao, ila sikuona mabadariko yoyote yale.
Yote yaliyotendeka niliweza kuvumilia ila hili nililolipata wiki hii, limenizidi uwezo. Baada ya chakula Cha jioni tukaingia chumbani, alikuwa anapanga nguo Mimi nikatangulia kuoga, baada ya muda nikatoka yeye akiwa Bado busy, kama kawaida kabla ya kulala ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku, nikasikia akiseme acha kusali uongo.
Niliumia sana, nikamaaliza sala na kumuuliza ulikuwa unamaana gani, nikaona anacheka, nikamuuliza hii midhaha yako itaisha lini lakini akawa anaendelea kucheka, kwa kweri nilipatwa na hasira sana ila niliishia kutoka kwenda barazani ningeendelea kuwa pale ningeweza kumpiga kitu ambacho sitaki kitokee tena.
Mimi nimemzidi miaka 4 huyu mke wangu , hata kielimu nimemzidi, kisalary nimemzidi zaidi ya mara 4. Nimeandika hivi Ili kutoa Ile dhana ya kuwa huenda nalelewa, nafanya majukumu yangu kama baba vizuri kabisa( ada, matibu, mavazi, afya, makazi) kwake na kwa watoto wetu.
Kutokana na hili huwa nakuwa na mawazo sana, kitu ambacho natamani kufanya maamuzi magumu ya kumwacha ila moyo unasita.
Ushauri wenu utaniponya.
nPole sana mkuu! Yawezekana mkeo bado haujamwambi na akakuelewa vizuri kwamba nini hukipendi na nini unakitaka!Nawasalimu.

Akiomba likizo mpeleke kwao likizo yote mkae mbalimbali na usiwe unaongea nae mara kwa mara akirudi kuna kitu atabadrika. Hakuna kitu kinavunja ndoa kama Mazoea. Apo kinachokucost ni Mazoea. Miaka 10 anaona we nayeye ni kama sawa tu.Nawasalimu.
Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.
Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.
Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la mizaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka (kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).
Nikiri ya kuwa katika maisha yetu yote nilishawahi mchapa makofi mara 3 kitu ambacho sitaki kukikumbuka na sitaki kitokee tena, ila nilifanya vile Ili tuu aweze kutambua kuwa sipendezwi na tabia zake.
Tabia hiyo ya kutokuwa na mipaka hasa ya kuzungumza haijawahi kwisha zaidi ya kupungua kwa muda na baadae kuanza tena.
Nimewahi kutumia kanuni ya kumtoa out na kwenda naye sehemu ya faragha na kumuambia kuhusu kutopendezwa na tabia zake huwa anaomba msamaha lakini baada ya muda hurudia tena.
Kiukweli ninampenda sana mke wangu, na mahusiano yetu yalianza tangu tukiwa secondary na baadae kuja kuoana.
Nje ya kumkanya mara kwa mara, niliona ni busara kufikisha jambo hili kwao, Ili waweze kumkanya binti yao, ila sikuona mabadaliko yoyote yale.
Yote yaliyotendeka niliweza kuvumilia ila hili nililolipata wiki hii, limenizidi uwezo. Baada ya chakula Cha jioni tukaingia chumbani, alikuwa anapanga nguo Mimi nikatangulia kuoga, baada ya muda nikatoka yeye akiwa Bado busy, kama kawaida kabla ya kulala ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku, nikasikia akiseme acha kusali uongo.
Niliumia sana, nikamaaliza sala na kumuuliza ulikuwa unamaana gani, nikaona anacheka, nikamuuliza hii midhaha yako itaisha lini lakini akawa anaendelea kucheka, kwa kweri nilipatwa na hasira sana ila niliishia kutoka kwenda barazani ningeendelea kuwa pale ningeweza kumpiga kitu ambacho sitaki kitokee tena.
Mimi nimemzidi miaka 4 huyu mke wangu , hata kielimu nimemzidi, kisalary nimemzidi zaidi ya mara 4. Nimeandika hivi Ili kutoa Ile dhana ya kuwa huenda nalelewa, nafanya majukumu yangu kama baba vizuri kabisa( ada, matibu, mavazi, afya, makazi) kwake na kwa watoto wetu.
Kutokana na hili huwa nakuwa na mawazo sana, kitu ambacho natamani kufanya maamuzi magumu ya kumwacha ila moyo unasita.
Ushauri wenu utaniponya.
Mtoe tena out uongee naye kama ulivyofanya mwanzoniSijui alikuwa anamaanisha nn?
🤣🤣🤣 kwa mwanamke mwenye mizaha kama yote si utatomba mpaka mashine de libolo ikatikeIle anaanza kucheka tu,namkamata,namuinamisha,then kitombo cha kwenda
Huenda, itabidi nijitazame namna ninavyoishiTatizo uko serious sana punguza
Asante sana kwa wazo hili, ila nimejitahidi sana kumueleza hili jambo kwa namna tofauti lakini bado, naweza akachange kwa muda ila baadae anarudia yaleyale.nPole sana mkuu! Yawezekana mkeo bado haujamwambi na akakuelewa vizuri kwamba nini hukipendi na nini unakitaka!
Yaani hujaexpose sawasawa misimamo yako na kumfanya akufahamu sawasawa , ninachokiona ni kama vile kwa vile kuna mambo mengi amekuwa anakufanyia unakerwa lakini, humkemei, unamvumilia tu! Katika mazingira hayo unawezajikuta unamzoweza mtu kukufanyia mambo ambayo huyapendi, lakini akawa hajuwi kama huyapendi!
Kwa hiyo kama kweli unayachukia hayo matendo yake mweleze kinaga ubaga na shikilia msimamo bila kucheka nae!
Vinginevyo inabidi uchaguwe kuendelea kujifanya mjinga ili ndoa iendelee kuwa na amani!
Mimi ni mwanaume ninayependa masihara mengi. Nahisi mimi na mkeo tungeendana sana. Maisha yangekuwa ya furaha muda wote, kama mimi na mke wangu.
Kwa kuwa mimi nina kanuni mbili.
Nafanya jambo la seriously kwa njia ya masihara. Na nipo seriously kufanya masihara.

Tatizo sio utani, tatizo ni mizaha.Nionacho ni kwamba mmeoana watu msioendana tabia...
Binafsi utani hauwezi nifanya niwe na gadhabu, huku najua kabisa huo ni utani tu...
Kitombo kama hakitoshi ki**ro pia kitahusika..🤣🤣🤣 kwa mwanamke mwenye mizaha kama yote si utatomba mpaka mashine de libolo ikatike
Kwa hiyo sisi ma-lastborn ndo huwa tuna mambo ya ajab ajab..mi mwenyewe huyo jamaa nashangaa sana,mke mwenye utani,ni mwanamke mzuri sanaKabisa uyu last born kabisa yani

Napenda hayo mambo ILA MAKOFI yasiwe ya kikilyammmmmm Mimi naona haihitaji marekebisho yoyote, kwani unamke mzur sana tena anaishi na wewe kirafiki tena kimahusiano safi kabisaaaNawasalimu.
Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
Njoo kwangu basi nitakuwa na kuchapa makofi kimahabaHivi kumbe WANAUME mnaochapa wanawake MAKOFI BADO mpo?Napenda hayo mambo ILA MAKOFI yasiwe ya kikilya