Mke kazidi mizaha

Mke kazidi mizaha

Alivosema acha kusali uongo pale pale unambirua unavuta chupo yake pembeni wala humvui ili shavu la kushoto lionekane,kama futa lipo karibu unapaka kwapapuchi pembeni ya chupi umasokomeza dushelele we call it Fucking not sex na wanawake wengi wanapenda hiyo kitu.
 
Basi muache uje uniwowe me sitakutania mkuu. Kikubwa shoo tu🙆‍♂️🙆‍♂️
Nawasalimu.

Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.

Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.

Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.

Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la mizaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka (kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).

Nikiri ya kuwa katika maisha yetu yote nilishawahi mchapa makofi mara 3 kitu ambacho sitaki kukikumbuka na sitaki kitokee tena, ila nilifanya vile Ili tuu aweze kutambua kuwa sipendezwi na tabia zake.

Tabia hiyo ya kutokuwa na mipaka hasa ya kuzungumza haijawahi kwisha zaidi ya kupungua kwa muda na baadae kuanza tena.

Nimewahi kutumia kanuni ya kumtoa out na kwenda naye sehemu ya faragha na kumuambia kuhusu kutopendezwa na tabia zake huwa anaomba msamaha lakini baada ya muda hurudia tena.

Kiukweli ninampenda sana mke wangu, na mahusiano yetu yalianza tangu tukiwa secondary na baadae kuja kuoana.

Nje ya kumkanya mara kwa mara, niliona ni busara kufikisha jambo hili kwao, Ili waweze kumkanya binti yao, ila sikuona mabadaliko yoyote yale.

Yote yaliyotendeka niliweza kuvumilia ila hili nililolipata wiki hii, limenizidi uwezo. Baada ya chakula Cha jioni tukaingia chumbani, alikuwa anapanga nguo Mimi nikatangulia kuoga, baada ya muda nikatoka yeye akiwa Bado busy, kama kawaida kabla ya kulala ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku, nikasikia akiseme acha kusali uongo.

Niliumia sana, nikamaaliza sala na kumuuliza ulikuwa unamaana gani, nikaona anacheka, nikamuuliza hii midhaha yako itaisha lini lakini akawa anaendelea kucheka, kwa kweri nilipatwa na hasira sana ila niliishia kutoka kwenda barazani ningeendelea kuwa pale ningeweza kumpiga kitu ambacho sitaki kitokee tena.

Mimi nimemzidi miaka 4 huyu mke wangu, hata kielimu nimemzidi, kisalary nimemzidi zaidi ya mara 4.

Nimeandika hivi Ili kutoa Ile dhana ya kuwa huenda nalelewa, nafanya majukumu yangu kama baba vizuri kabisa(ada, matibu, mavazi, afya, makazi) kwake na kwa watoto wetu.

Kutokana na hili huwa nakuwa na mawazo sana, kitu ambacho natamani kufanya maamuzi magumu ya kumwacha ila moyo unasita.

Ushauri wenu utaniponya.
 
Hapo baada ya kumaliza kusali wakati ye anapanga Nguo kabatini ungeenda kumkumbatia Kwa nyuma ukamuuliza na kumwambia unasemaje wewe? Subiri adhabu Yako kitandani ukimaliza kupanga Nguo, najua alikuwa na kanga Moja tu hapo

Ishi na mkeo kama Mshkaji wako bloo ufurahie maisha
Hapo nilipo pa nukuu ndo penyewe....Nime imagine....
Dah hapa jf ukisoma comment unaweza kudhania wewe peke ako ndo una bahati mbaya kukutana na wanaume type ya ajabu.... kumbe saa ingine ni comments
 
Hiyo nyumba au kambi ya vyombo vya usalama?
Msifanye wake zenu wakose huru kwenu. Mmeishi miaka mingi kukiwa na sintofahamu mkae muongee
 
Hapo nilipo pa nukuu ndo penyewe....Nime imagine....
Dah hapa jf ukisoma comment unaweza kudhania wewe peke ako ndo una bahati mbaya kukutana na wanaume type ya ajabu.... kumbe saa ingine ni comments
Mi ni kweli lakini na practice nachokisema
 
Mbona simple,ulivyomaliza kusali ilipaswa umshike sikio moja ulizungushe kwa kulifinya huku unamwambia taratibu kuwa ni uongo gani ninao sali,baadae ungeenda kulala na sio kwenda nje
 
Me nimemtania niliye mnukuu kwamba ameandika kijentoman tofauti na uhalisia wa maisha yake nje ya mtandao
Uliyemnukuu ni Mimi mama na ndio najaribu kusema nilichoongea ndio ninachokiishi
 
Kosa utafanya kwa mwanamke ni kumpiga na ukijua mtaendelea kuishi pamoja siku zijazo.

Ukishampiga tayari anakuwa ameshakuona dhaifu, upo easily triggered, na una temper ya kitoto, plus u lack control.

Wanawake wanawaheshimu wanaume wenye pesa na nguvu ila wanaheshimu na kumuadmire zaidi mwanaume mwenye self control kwasababu ni jambo adimu sana kwa mwanaume kuwa nalo na ndilo utambulisho wa uimara wa nafsi.

Mwanamke huwa anataka kumcontrol mwanaume kila sehemu zaidi ni kumcontrol nafsi yake ili amshike kila pahali.

Sasa unapokasirika anajua ameshakumudu na ataendelea kukutikisa hadi ulie.

Usihangaike kumuonyesha hasira sababu wao hitafsiri kama madhaifu. Kuwa mtu wa maamuzi ila yasiyo na jazba.

Mfano kama hapo ungeendelea kusali zako ukamaliza halafu ukaamka na kumjibu kwa utani kuwa subiri na wewe usali nisikilize utakacho mwambia MUNGU. Kisha unaendelea na kulala. Mwanamke hana jeuri mbelenya mwanaume anayejicontrol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mimi hapo, ningejitahidi kuzuia hasira halafu naenda nje kushusha pumzi kisha narudi nampa gemu moja matata kama tunaigiza porn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo hana tatizo na wewe kabisa ile ni hali ya kuweka utani ili kuimarisha upendo ndani ya nyumba, ila wewe ndio kenge unataka upigiwe magoti uogopwe.
 
NDIO tatizo la vijana kuoa bila ya kukomaa kibusara na kuwatambua vizuri watoto wa kike..

-kila mmoja ajue mipaka yake na nafasi yake kwa mwenzake

-utani hautakiwi kuwa mwingi baina ya wanandoa

-kila mmoja asimamie majukumu yake na kutambua nafasi yake ndani ya ndoa

-kuambizana pale mmoja anapokosea

-lazima muwe mmejuana mapungufu yenu kabla ya kuoana,ili utakapojifunga ndani ya ndoa Basi unakuwa unajua unaenda kuishi na mtu wa aina gani na mapungufu yake ni yapi...hi haitakupa stress Kama ulizonazo

-kusameheana muhimu,hutokea binaadamu kukosea ..

-usimsimange mwenzako kwa mapungufu yake Hali ya kuwa ulikubaliana na mapungufu yake mpaka mkaamua kuwa pamoja

-mwenye nazo nyingine
FB_IMG_16618774371522872.jpg
 
Nawasalimu.

Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.

Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.

Nimeishi kwenye ndoa na huyu mke wangu kwa miaka 10 na kujaliwa watoto wawili.

Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la mizaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka (kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).

Nikiri ya kuwa katika maisha yetu yote nilishawahi mchapa makofi mara 3 kitu ambacho sitaki kukikumbuka na sitaki kitokee tena, ila nilifanya vile Ili tuu aweze kutambua kuwa sipendezwi na tabia zake.

Tabia hiyo ya kutokuwa na mipaka hasa ya kuzungumza haijawahi kwisha zaidi ya kupungua kwa muda na baadae kuanza tena.

Nimewahi kutumia kanuni ya kumtoa out na kwenda naye sehemu ya faragha na kumuambia kuhusu kutopendezwa na tabia zake huwa anaomba msamaha lakini baada ya muda hurudia tena.

Kiukweli ninampenda sana mke wangu, na mahusiano yetu yalianza tangu tukiwa secondary na baadae kuja kuoana.

Nje ya kumkanya mara kwa mara, niliona ni busara kufikisha jambo hili kwao, Ili waweze kumkanya binti yao, ila sikuona mabadaliko yoyote yale.

Yote yaliyotendeka niliweza kuvumilia ila hili nililolipata wiki hii, limenizidi uwezo. Baada ya chakula Cha jioni tukaingia chumbani, alikuwa anapanga nguo Mimi nikatangulia kuoga, baada ya muda nikatoka yeye akiwa Bado busy, kama kawaida kabla ya kulala ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku, nikasikia akiseme acha kusali uongo.

Niliumia sana, nikamaaliza sala na kumuuliza ulikuwa unamaana gani, nikaona anacheka, nikamuuliza hii midhaha yako itaisha lini lakini akawa anaendelea kucheka, kwa kweri nilipatwa na hasira sana ila niliishia kutoka kwenda barazani ningeendelea kuwa pale ningeweza kumpiga kitu ambacho sitaki kitokee tena.

Mimi nimemzidi miaka 4 huyu mke wangu, hata kielimu nimemzidi, kisalary nimemzidi zaidi ya mara 4.

Nimeandika hivi Ili kutoa Ile dhana ya kuwa huenda nalelewa, nafanya majukumu yangu kama baba vizuri kabisa(ada, matibu, mavazi, afya, makazi) kwake na kwa watoto wetu.

Kutokana na hili huwa nakuwa na mawazo sana, kitu ambacho natamani kufanya maamuzi magumu ya kumwacha ila moyo unasita.

Ushauri wenu utaniponya.
mimi nilijua kajamba kwa sauti wakati mnakula na wageni!!!mizaha kama hiyo ni jambo la kawaida sana na ndilo limewafikisha miaka hiyo 10, unataka muwe serious kama mnatunga kitabu... malizia tumboni hayo mbona madogo sana, akiliwa je?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom